Yanga hajashindwa kesi CAS dhidi ya TFF, Bodi ya ligi na Simba sc

Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF

Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS hutoa siku 21 liwe limefika mezani kwao

Baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi kihuni, Yanga walifata taratibu ya kuandika barua TFF, lakini TFF walikaa kimya ili kupuuza na kuwaingiza Yanga katika mtego ili siku 21 zipite na Yanga asiwe na sehemu ya kulalamika huko CAS

Yanga alitumia ujanja kupeleka kesi CAS bila kuwa na nakala ya maamzi kutoka TFF ambao walikuwa upande wa bodi ya ligi na Simba, tukumbuke kauli ya Karia alivokuwa Tanga

Kesi imefika CAS na wametoa Amri kuwa kesi irudi TFF isikilizwe na itolewe maamuzi na nakala zitolewe, Yanga asiporidhika arejee CAS na nakala ya huku

Huu ni mtego mpya Kwa Bodi ya ligi na TFF

Moto utawaka hii kesi Bado mbichi

Eng Hersi Said ni akili kubwa

Soma Pia: Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

TFF na bodi ya ligi wameamua kuwa matapeli na kuwa upande wa 5imba ila young Africans ni Taifa kubwa

TFF na bodi ya ligi wanaohujumu timu yetu Kwa ushabiki wao wa 5imba

Kila la heri timu ya wananchi young Africans

Yanga bingwa
Atakaye kuelewa hapa ni hao viliaza wenzio mwanzo hamkusema haya mlikuwa mnadanganya kanuni kanuni baada ya kujazwa upepo na mzungu pori manara mmeshindwa kesi tena imefutiliwa mbali kwenye kumbu kumbu za Cas
 
Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF

Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS hutoa siku 21 liwe limefika mezani kwao

Baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi kihuni, Yanga walifata taratibu ya kuandika barua TFF, lakini TFF walikaa kimya ili kupuuza na kuwaingiza Yanga katika mtego ili siku 21 zipite na Yanga asiwe na sehemu ya kulalamika huko CAS

Yanga alitumia ujanja kupeleka kesi CAS bila kuwa na nakala ya maamzi kutoka TFF ambao walikuwa upande wa bodi ya ligi na Simba, tukumbuke kauli ya Karia alivokuwa Tanga

Kesi imefika CAS na wametoa Amri kuwa kesi irudi TFF isikilizwe na itolewe maamuzi na nakala zitolewe, Yanga asiporidhika arejee CAS na nakala ya huku

Huu ni mtego mpya Kwa Bodi ya ligi na TFF

Moto utawaka hii kesi Bado mbichi

Eng Hersi Said ni akili kubwa

Soma Pia: Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

TFF na bodi ya ligi wameamua kuwa matapeli na kuwa upande wa 5imba ila young Africans ni Taifa kubwa

TFF na bodi ya ligi wanaohujumu timu yetu Kwa ushabiki wao wa 5imba

Kila la heri timu ya wananchi young Africans

Yanga bingwa
Bodi imeshasema inatoa ratiba, ikiwemo mechi hiyo
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Angalia zao la ujinga lingine hili.Umepeleka pingamizi kuzuia TFF na Bodi ya Ligi kutangaza tarehe ya mechi ya Derby umepigwa chini unadai hujashindwa!Una akili timamu kweli?Hujafuata utaratibu kwa upumbavu unarudishwa ulikotoka unadai eti sijashindwa!!!Ulitaka pointi 3 umezipata?Umeshinda kwa tafsiri ya kikichaa.
Haji Manara pamoja na mapungufu yake ila hakukosea kuhusu wale wawili wenye akili
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Simon Parry ni mwanasheria mzuri sana.
Ila siyo Yanga kama alivyo Privaldinho.
Tunajut hilo, hii kesi haijaisha ila wamepigwa PO ya kudaka na just kulipa costs unapata signing fee ya midfielder wa kiwango.
 
Kama Yanga amepewa mwongozo na CAS ina maana wanasheria wenu hawakujua utaratibu wa kupeleka kesi CAS ni mpaka uanzie huko TFF?

Kama walijua basi lazima tukubaliane kuwa waliwadanganya viongozi wenu kuwa ipo namna ya Yanga kusikilizwa pasipo kupitia huko TFF ili wajipatie pesa ya kuendeshea kesi.

Au walijua na waliwaambia viongozi wenu hali halisi kuwa huko ni ngumu kwasababu utaratibu ni mpaka tuanzie humu ndani ila kwasababu Yanga inaongozwa na watu wajinga ambao wanatumia emetions wali force ili tu kuwapa imani mashabiki wao waonekane wana viongozi wenye misimamo.

Na kama hawakujua maana yake jopo zima la wanasheria likiongozwa na Simon Patrick hawapaswi kuaminika na hawana credibility ya kutosha kufanya kazi kwenye taasisi kama Yanga.

Nb: Majibu yote utayopata kwenye hizo assumptions hapo juu lazima yatoe conclusion kuwa Yanga inaendeshwa na watu walio faulu lakini sio wasomi na hawana elimu.

Ni walifaulu mitihani ili waje kupata ajira, na kwenye kufaulu mitihani kuna mbinu nyingi sio lazima utumie akili.
TFF waliandikiwa barua na Yanga ya malalamiko. Hawakuijibu na huku muda wa siku 21 ulikuwa unakaribia kwisha. TFF walikuwa wanacheza delay tactics. Yanga wakaona, kwa vile siku zinasonga, bora wapande CAS, then mengine yataendelea.

Ili CAS iweze kusikiliza rufaa, lazima kuwe na nakala ya hukumu toka TFF, hiyo ndo iliyokosekana, na ni kwa vile TFF hawakushughurika na malalamiko ya Yanga. Kwa CAS kushusha jambo hili kwa TFF, maana yake lazima wakae mezani kuijadili kesi na watoke na hukumu. kama kuna atakayekuwa hajaridhika na hukumu, basi atapanda CAS. Kwa mtazamo huu, TFF kujifanya wanapanga tarehe ya mechi ya dabi bila kulimaliza hili la kutoka CAS, wanajidanganya. NA HAPA NDO PENYE MTEGO MWINGINE AMBAO TFF WANAWEZA WAKAUINGIA TENA.

By the way, si sawa kwa kiongozi yeyote wa TFF kujiroposha mitandaoni ya kwamba, Yanga nao ni wanufaika wa TFF, mara Viongozi wa Yanga nao hawako sawa, mara tulijua watashindwa etc, HUU ni ujinga wa kiwango cha lami. Huwezi wewe ambaye ndo unashughurika na soka la Tanzania, bado unatoa kauli ambazo hazitoki vikaoni. Yaani unaongoza kwa hisia tu, TENA HISIA ZA KILA MTU KIVYAKE..!!

CC 0005, Kalpana
 
Ila wewe ujue hauna akili kabisa.
Yanga walienda CAS kufanya nini ?
Kuna vitu mmeambiwa mthibitishe mmeshindwa na CAS ndio maana Yanga mmeshindwa kesi
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Aya mnaosema Simba kacheza fainali mara 2 ushaidi huu hapa View attachment 3322234
downloadfile-1.jpg
20250428_214433.jpg
 
TFF waliandikiwa barua na Yanga ya malalamiko. Hawakuijibu na huku muda wa siku 21 ulikuwa unakaribia kwisha. TFF walikuwa wanacheza delay tactics. Yanga wakaona, kwa vile siku zinasonga, bora wapande CAS, then mengine yataendelea.

Ili CAS iweze kusikiliza rufaa, lazima kuwe na nakala ya hukumu toka TFF, hiyo ndo iliyokosekana, na ni kwa vile TFF hawakushughurika na malalamiko ya Yanga. Kwa CAS kushusha jambo hili kwa TFF, maana yake lazima wakae mezani kuijadili kesi na watoke na hukumu. kama kuna atakayekuwa hajaridhika na hukumu, basi atapanda CAS. Kwa mtazamo huu, TFF kujifanya wanapanga tarehe ya mechi ya dabi bila kulimaliza hili la kutoka CAS, wanajidanganya. NA HAPA NDO PENYE MTEGO MWINGINE AMBAO TFF WANAWEZA WAKAUINGIA TENA.

By the way, si sawa kwa kiongozi yeyote wa TFF kujiroposha mitandaoni ya kwamba, Yanga nao ni wanufaika wa TFF, mara Viongozi wa Yanga nao hawako sawa, mara tulijua watashindwa etc, HUU ni ujinga wa kiwango cha lami. Huwezi wewe ambaye ndo unashughurika na soka la Tanzania, bado unatoa kauli ambazo hazitoki vikaoni. Yaani unaongoza kwa hisia tu, TENA HISIA ZA KILA MTU KIVYAKE..!!

CC 0005, Kalpana
Naagiza mbege nakurudia
 
Barua gani ambayo Yanga iliwaandikia TFF haikujibiwa?

Barua ambayo Yanga iliwaandikia Bodi ya ligi yenye Ref: No YASC/TPLB/M.184/2025/201 ilijibiwa tarehe 17 March

Kwenye barua hiyo Yanga iliweka madai ya kutaka ipewe alama 3 na magoli 3 lakini bodi ya ligi ilitupilia mbali ombi hilo.

Bodi ya ligi kwenye barua yao ya kuijibu Yanga iliainisha sababu za wao kuhairisha mechi na kutaja kifungu cha sheria kinachoipa mamlaka bodi ya ligi kuahirisha mechi.

Bodi ya ligi kwenye barua hiyo ilisisitiza kuwa mchezo wa Derby upo palepale.

Baada ya kujibiwa hivyo, Yanga hapo ndio walipoona waende CAS kupata haki yao.

Kwa hiyo sio kweli kuwa barua ya Yanga haikujibiwa.
 
Ile TFF na kamati zake wapo upande wa Simba na ni Wanachama wa 5imba
Waliwakimbiza mbumbumbu wasipigwe 5 tena
Sasa ni hv TUTACHEZA na kuwapiga kipigo cha mbwa koko
Dawa yenu ni kuuchomoa mwiko nyuma na kuusokomeza tena kwa kasi ya 4G
 
Barua gani ambayo Yanga iliwaandikia TFF haikujibiwa?

Barua ambayo Yanga iliwaandikia Bodi ya ligi yenye Ref: No YASC/TPLB/M.184/2025/201 ilijibiwa tarehe 17 March

Kwenye barua hiyo Yanga iliweka madai ya kutaka ipewe alama 3 na magoli 3 lakini bodi ya ligi ilitupilia mbali ombi hilo.

Bodi ya ligi kwenye barua yao ya kuijibu Yanga iliainisha sababu za wao kuhairisha mechi na kutaja kifungu cha sheria kinachoipa mamlaka bodi ya ligi kuahirisha mechi.

Bodi ya ligi kwenye barua hiyo ilisisitiza kuwa mchezo wa Derby upo palepale.

Baada ya kujibiwa hivyo, Yanga hapo ndio walipoona waende CAS kupata haki yao.

Kwa hiyo sio kweli kuwa barua ya Yanga haikujibiwa.
Hiyo barua ya TFF kwenda Yanga, ndo hukumu ya kesi? Ingekuwa hukumu ya kesi, CAS wasingerudisha kesi kwa TFF. Document iliyokosekana huko CAS ili waingilie kati suala zima, ni hukumu ya kesi na ndo ambayo Yanga wangekuwa wanaikatia rufaa..!! Yanga waliamua kuwahi CAS kwa vile tu TFF walikuwa wanacheza delay tactic ya siku 21 zipite.

Kwa uelewa wako au hata wa kusaidiwa na mtu mwingine,, kilichopelekwa TFF toka CAS, ni kitu gani?
 
TFF waliandikiwa barua na Yanga ya malalamiko. Hawakuijibu na huku muda wa siku 21 ulikuwa unakaribia kwisha. TFF walikuwa wanacheza delay tactics. Yanga wakaona, kwa vile siku zinasonga, bora wapande CAS, then mengine yataendelea.

Ili CAS iweze kusikiliza rufaa, lazima kuwe na nakala ya hukumu toka TFF, hiyo ndo iliyokosekana, na ni kwa vile TFF hawakushughurika na malalamiko ya Yanga. Kwa CAS kushusha jambo hili kwa TFF, maana yake lazima wakae mezani kuijadili kesi na watoke na hukumu. kama kuna atakayekuwa hajaridhika na hukumu, basi atapanda CAS. Kwa mtazamo huu, TFF kujifanya wanapanga tarehe ya mechi ya dabi bila kulimaliza hili la kutoka CAS, wanajidanganya. NA HAPA NDO PENYE MTEGO MWINGINE AMBAO TFF WANAWEZA WAKAUINGIA TENA.

By the way, si sawa kwa kiongozi yeyote wa TFF kujiroposha mitandaoni ya kwamba, Yanga nao ni wanufaika wa TFF, mara Viongozi wa Yanga nao hawako sawa, mara tulijua watashindwa etc, HUU ni ujinga wa kiwango cha lami. Huwezi wewe ambaye ndo unashughurika na soka la Tanzania, bado unatoa kauli ambazo hazitoki vikaoni. Yaani unaongoza kwa hisia tu, TENA HISIA ZA KILA MTU KIVYAKE..!!

CC 0005, Kalpana

Kwanza unapaswa kujua msigi wa kesi, au shauri.

Msingi wa Kesi ni kuahirishwa kwa mechi kati ya hawa mabwana wawili(Simba na Yanga).

Mpaka sasa hivi simba hausiki popote pale,sababu kuhusika kwake kulitenguliwa na barua ya Bodi ya Ligi ambayo ilahirisha mechi kwa kanuni.

Barua haikuishia hapo ilitaja mpaka kanuni na sababu za kuahirishwa mechi.

Ikaeleza pia mechi itapangwa tarehe nyingine(Hapa yanga alikosa uhalalili kudai point 3) sababu Bodi ya Ligi inatambua mchezo upo na utapangiwa tarehe nyingine.

Yanga alipokea barua na simba alipokea barua ya melekezo haya.

YANGA ALIPOCHEMKA NI HAPA

Ajabu sasa Yanga akakimbilia CAS akidai point 3.(unadai vipi point 3 za mchezo ulioahirishwa) na taarifa rasmi kutoka kwa msimamizi wa mchezo?

Yanga anadai kurejeshewa gharama za maandalizi.(Yanga anapewaje gharama za maandalizi na aliambiwa mchezo hakuna? eti ulileta mapambo uwanjani ,yale sio sehem ya mchezo )

Tuseme ulitumia usafiri kuja uwanjani( swali linakuja ulikujaje wakati mchezo uliahirishwa na wenye mamlaka? Inamaana wewe ulikuana mambo yako nje ya dakika 90 ambazo CAS na FIFA haiziyatambui.

Gharama ipii kama refa analipwa na TFF ,uwanja umekodiwa lakini tukio halikufanyika,

Mkaingiza mashabiki uwanjani bila ya kuwapa burudani waliyotarajia, nyie mmetia hasara wanachama na mashabiki wenu.
 
Hiyo barua ya TFF kwenda Yanga, ndo hukumu ya kesi? Ingekuwa hukumu ya kesi, CAS wasingerudisha kesi kwa TFF. Document iliyokosekana huko CAS ili waingilie kati suala zima, ni hukumu ya kesi na ndo ambayo Yanga wangekuwa wanaikatia rufaa..!! Yanga waliamua kuwahi CAS kwa vile tu TFF walikuwa wanacheza delay tactic ya siku 21 zipite.

Kwa uelewa wako au hata wa kusaidiwa na mtu mwingine,, kilichopelekwa TFF toka CAS, ni kitu gani?
Kwani barua ya Yanga kwenda TFF ndio ilikuwa jalada la kesi?
 
UNATENDA DHAMBI ZA BURE KISA UPUMBAVU WA SIMBA NA YANGA.
POLE SANA NDUGU YANGU.

Nenda kasome kifungu Cha 33
Kasome maneno
................... Tanzania Football Federation, Simba Sport club, Tanzania premiel league bordy, shall be terminated and Deleated from the CAS
(Imetupiliwa mbali na Imefutwa).
 
Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF

Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS hutoa siku 21 liwe limefika mezani kwao

Baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi kihuni, Yanga walifata taratibu ya kuandika barua TFF, lakini TFF walikaa kimya ili kupuuza na kuwaingiza Yanga katika mtego ili siku 21 zipite na Yanga asiwe na sehemu ya kulalamika huko CAS

Yanga alitumia ujanja kupeleka kesi CAS bila kuwa na nakala ya maamzi kutoka TFF ambao walikuwa upande wa bodi ya ligi na Simba, tukumbuke kauli ya Karia alivokuwa Tanga

Kesi imefika CAS na wametoa Amri kuwa kesi irudi TFF isikilizwe na itolewe maamuzi na nakala zitolewe, Yanga asiporidhika arejee CAS na nakala ya huku

Huu ni mtego mpya Kwa Bodi ya ligi na TFF

Moto utawaka hii kesi Bado mbichi

Eng Hersi Said ni akili kubwa

Soma Pia: Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale

TFF na bodi ya ligi wameamua kuwa matapeli na kuwa upande wa 5imba ila young Africans ni Taifa kubwa

TFF na bodi ya ligi wanaohujumu timu yetu Kwa ushabiki wao wa 5imba

Kila la heri timu ya wananchi young Africans

Yanga bingwa
Mwakakikundi, mtakumbuka sana yale magoli mliyoifunga Simba 5-1.
Ile sheria ya CAF kufutwa, nilijua kwa hawa wanakikundi hawatoboi mechi za kimataifa kwasababu wao wakiifunga Simba ndiyo wamecheza fainali ya CAF champion na kuchukua kombe
 
Back
Top Bottom