Yanga hajashindwa kesi CAS dhidi ya TFF, Bodi ya ligi na Simba sc

Yanga hajashindwa kesi CAS dhidi ya TFF, Bodi ya ligi na Simba sc

Kama Yanga amepewa mwongozo na CAS ina maana wanasheria wenu hawakujua utaratibu wa kupeleka kesi CAS ni mpaka uanzie huko TFF?

Kama walijua basi lazima tukubaliane kuwa waliwadanganya viongozi wenu kuwa ipo namna ya Yanga kusikilizwa pasipo kupitia huko TFF ili wajipatie pesa ya kuendeshea kesi.

Au walijua na waliwaambia viongozi wenu hali halisi kuwa huko ni ngumu kwasababu utaratibu ni mpaka tuanzie humu ndani ila kwasababu Yanga inaongozwa na watu wajinga ambao wanatumia emetions wali force ili tu kuwapa imani mashabiki wao waonekane wana viongozi wenye misimamo.

Na kama hawakujua maana yake jopo zima la wanasheria likiongozwa na Simon Patrick hawapaswi kuaminika na hawana credibility ya kutosha kufanya kazi kwenye taasisi kama Yanga.

Nb: Majibu yote utayopata kwenye hizo assumptions hapo juu lazima yatoe conclusion kuwa Yanga inaendeshwa na watu walio faulu lakini sio wasomi na hawana elimu.

Ni walifaulu mitihani ili waje kupata ajira, na kwenye kufaulu mitihani kuna mbinu nyingi sio lazima utumie akili.
Acha porojo mechi ichezwe tu wapange tarehe
 
Hawa wanasheria wa yanga wanatakiwa wacharazwe mboko hawawezi kututia hasara.

Hivi kwanza wanatuchukuliaje sisi mashabiki.wanafanya tuonekane kweli wenye akli ni wawili tu.
 
Angalia zao la ujinga lingine hili.Umepeleka pingamizi kuzuia TFF na Bodi ya Ligi kutangaza tarehe ya mechi ya Derby umepigwa chini unadai hujashindwa!Una akili timamu kweli?Hujafuata utaratibu kwa upumbavu unarudishwa ulikotoka unadai eti sijashindwa!!!Ulitaka pointi 3 umezipata?Umeshinda kwa tafsiri ya kikichaa.
Huna akili
 
Yanga itaamini vipi viongozi wa TFF ambao ni Wanachama wa Simba,

TFF walishirikiana na Simba kuhujumu Yanga na kuhairisha derby bila kufata kanuni

Derby tunacheza na huu mtego TFF na 5imba wamenasa, Sasa leteni timu lenu tuwafunge mara ya 5 mfululizo
Ukiona mtu anaamini hisia zake kuliko kweli huyo huwa anaongozwa na homoni za kike au hajawahi kuchungulia darasa hata kidogo.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Hamjasindwa kesi kwahiyo mmepata sare au ni vipi?
 
Ndio TUTACHEZA
Tuna hamu ya kucheza na 5imba ili tuwafunge mara ya 5 mfululizo

Au hutaki?
Sasa ulivyokuwa unapiga kelele huchezi??? Hii mijitu mipumbavu kweli kweli
 
Ushauri wangu Kwa viongozi wa Yanga waachane na kesi tucheze tuwafunge hao 5imba mara ya 5 mfululizo na hayo mashindano Yao ya UMISETA yaani shirikisho
Sasa lipi ni lipi..???..Mara kesi ni mbichi....mara muachane na kesi......

Mmechanganyikiwa
 
Aya mnaosema Simba kacheza fainali mara 2 ushaidi huu hapa
1000001013.jpg
 
Back
Top Bottom