Kipindi mnatoka kuifunga 5 -1 Simba mpaka mkaweka mabango. Mkapigwa 3-0 na Boulzdad. Juzi kati mkala chuma 3-1 na Tabora, Al hilal 2-0Ulikuwa mtego ili 5imba alete timu afungwe mara ya 5 mfululizo
Kuna timu zinawashabiki wajinga sana, hata kufikiri mambo kidogo tu hawataki. Wanafikiri rais wao alipeleka kesi CAS kwa nia ya kushinda, hawajui kwamba alipeleka kesi baada ya kelele zao kuwa nyingi za hatuchezi, akaona isiwe taabu ngoja nilipeleke huko ili lisinifie mikononi mwangu. Maana urais bado anautaka. Itoshe kusema kwamba Yanga hawakuwa na hoja yoyote kwenye submission yao huko CAS, walikuwa wanawaridhisha tu mashabiki wao kwamba wamechukua hatua katika jambo lile.Angalia zao la ujinga lingine hili.Umepeleka pingamizi kuzuia TFF na Bodi ya Ligi kutangaza tarehe ya mechi ya Derby umepigwa chini unadai hujashindwa!Una akili timamu kweli?Hujafuata utaratibu kwa upumbavu unarudishwa ulikotoka unadai eti sijashindwa!!!Ulitaka pointi 3 umezipata?Umeshinda kwa tafsiri ya kikichaa.
Wenye akili ni wawili tuu.......Yanga ameshinda kesi na kupewa point tatu magoli matatu na milioni 500Kuna upotoshaji unaendelea ati Yanga ameshindwa kesi, sio kweli Bali Yanga amepewa mwongozo kuwa aanzie kwenye kamati ya Rufaa ya TFF
Kanuni za CAS ni kuwa tukio linalolalamikiwa linapotokea CAS hutoa siku 21 liwe limefika mezani kwao
Baada ya bodi ya ligi kuhairisha mechi kihuni, Yanga walifata taratibu ya kuandika barua TFF, lakini TFF walikaa kimya ili kupuuza na kuwaingiza Yanga katika mtego ili siku 21 zipite na Yanga asiwe na sehemu ya kulalamika huko CAS
Yanga alitumia ujanja kupeleka kesi CAS bila kuwa na nakala ya maamzi kutoka TFF ambao walikuwa upande wa bodi ya ligi na Simba, tukumbuke kauli ya Karia alivokuwa Tanga
Kesi imefika CAS na wametoa Amri kuwa kesi irudi TFF isikilizwe na itolewe maamuzi na nakala zitolewe, Yanga asiporidhika arejee CAS na nakala ya huku
Huu ni mtego mpya Kwa Bodi ya ligi na TFF
Moto utawaka hii kesi Bado mbichi
Eng Hersi Said ni akili kubwa
Soma Pia: Yanga yadondokea pua CAS, dabi ipo palepale
TFF na bodi ya ligi wameamua kuwa matapeli na kuwa upande wa 5imba ila young Africans ni Taifa kubwa
TFF na bodi ya ligi wanaohujumu timu yetu Kwa ushabiki wao wa 5imba
Kila la heri timu ya wananchi young Africans
Yanga bingwa
Yalichapisha hadi jersey za "hatuwezi" mazwazwa hayaImetupiliwa mbali kwa sababu hamkufuata utaratibu. Maana yake mmeonekana ni mbumbumbu wa sheria. Ni vilaza 😂 😂
Acha watuige tuSio TFF peke yake hadi CAS nayo imejaa Simba watupu si unaona hapa mwanasheria wetu akimkabidhi jezi ofisa wa CASView attachment 3322220
Ndo mjue kwamba mna misimamo ya kike . "Mimi sitaki huku anaingia geto"Ndio TUTACHEZA
Tuna hamu ya kucheza na 5imba ili tuwafunge mara ya 5 mfululizo
Au hutaki?
Huyu jamaa sidhani kama ana akili timamu . Nahisi dishi linayumba Maana hakuna siku hata Moja amewahi kuandika cha Maana tofauti na haya mashudu yake.Angalia zao la ujinga lingine hili.Umepeleka pingamizi kuzuia TFF na Bodi ya Ligi kutangaza tarehe ya mechi ya Derby umepigwa chini unadai hujashindwa!Una akili timamu kweli?Hujafuata utaratibu kwa upumbavu unarudishwa ulikotoka unadai eti sijashindwa!!!Ulitaka pointi 3 umezipata?Umeshinda kwa tafsiri ya kikichaa.
Unajidhihirisha ufinyu wa akili yako au mahaba yamekuzidi au unaamua kupotosha makusudi au hukusoma kwa umakini uwasilishaji wa mleta mada.Kama Yanga amepewa mwongozo na CAS ina maana wanasheria wenu hawakujua utaratibu wa kupeleka kesi CAS ni mpaka uanzie huko TFF?
Kama walijua basi lazima tukubaliane kuwa waliwadanganya viongozi wenu kuwa ipo namna ya Yanga kusikilizwa pasipo kupitia huko TFF ili wajipatie pesa ya kuendeshea kesi.
Au walijua na waliwaambia viongozi wenu hali halisi kuwa huko ni ngumu kwasababu utaratibu ni mpaka tuanzie humu ndani ila kwasababu Yanga inaongozwa na watu wajinga ambao wanatumia emetions wali force ili tu kuwapa imani mashabiki wao waonekane wana viongozi wenye misimamo.
Na kama hawakujua maana yake jopo zima la wanasheria likiongozwa na Simon Patrick hawapaswi kuaminika na hawana credibility ya kutosha kufanya kazi kwenye taasisi kama Yanga.
Nb: Majibu yote utayopata kwenye hizo assumptions hapo juu lazima yatoe conclusion kuwa Yanga inaendeshwa na watu walio faulu lakini sio wasomi na hawana elimu.
Ni walifaulu mitihani ili waje kupata ajira, na kwenye kufaulu mitihani kuna mbinu nyingi sio lazima utumie akili.
Walikuwa wanawahi nini sasa kama walijua fika hata kuwahi kwao hakuwezi kuwasaidia chochote kwasababu kuna hatua za awali hawajazipitia?Unajudhihirisha ufinyu wa akili yako au mahaba yanekuzidi au unaamua kupotosha makusudi au hukusoma kwa umakini uwasilishaji wa mleya mada.
Kwa ufupi kabisa wenzako wameiwahisha kesi ili zisipite siku 21 baada ya tukio linalolalamikiwa ili kuendana matakwa ya CAS baada ya kuona Kuna delaying tactic ya makusudi kuingina haki yake ya kukatpa rufaa CAS.
Daah yaani hii Simba Kayombo imfunge mtu aiseeNyie ni wapumbavu na ulichokiandika ni upumbavu pro max..
Yani mna wanasheria ambao hawajui kesi inaanzia wapi hiyo ni timu au kijiwe cha kahawa..
Letenk timu mgongwe...