Yanga hajashindwa kesi CAS dhidi ya TFF, Bodi ya ligi na Simba sc

Mimi ni Yanga Lillian ila mwanasheria hakuna hapo. Timu kama Yanga kwa nini isikodishe kampuni kubwa za kisheria au kama pesa hakuna watumie wanasheria kama Kibatala,Lisu,Mwabukusi,Malya au ha Rugemeleza. Walipanga kufeli
 
Ulikuwa mtego ili 5imba alete timu afungwe mara ya 5 mfululizo
Kipindi mnatoka kuifunga 5 -1 Simba mpaka mkaweka mabango. Mkapigwa 3-0 na Boulzdad. Juzi kati mkala chuma 3-1 na Tabora, Al hilal 2-0
Hongera 3Byanga, 3Boyanga na Al2yanga
 
Kuna timu zinawashabiki wajinga sana, hata kufikiri mambo kidogo tu hawataki. Wanafikiri rais wao alipeleka kesi CAS kwa nia ya kushinda, hawajui kwamba alipeleka kesi baada ya kelele zao kuwa nyingi za hatuchezi, akaona isiwe taabu ngoja nilipeleke huko ili lisinifie mikononi mwangu. Maana urais bado anautaka. Itoshe kusema kwamba Yanga hawakuwa na hoja yoyote kwenye submission yao huko CAS, walikuwa wanawaridhisha tu mashabiki wao kwamba wamechukua hatua katika jambo lile.
 
Reactions: Tui
Wenye akili ni wawili tuu.......Yanga ameshinda kesi na kupewa point tatu magoli matatu na milioni 500
 
Imetupiliwa mbali kwa sababu hamkufuata utaratibu. Maana yake mmeonekana ni mbumbumbu wa sheria. Ni vilaza 😂 😂
Yalichapisha hadi jersey za "hatuwezi" mazwazwa haya
 
Mwanetu unahaha kuanzisha nyuzi kuhusu uto sijui majukumu yako ni machache hivyo una muda mwingi wa kuandika mashudu.

Simba huwa hawaongei maneno mengi. Wakiongea neno moja wanawaacha uto na milio mbalimbali.
 
Ila CAS wahuni sana. Yaani siyo tu wameitupilia mbali hiyo kesi ila wameamua kui DELETE kabisa. Yaani hawataki kubaki na takataka katika kumbukumbu zao.
 
Kupitia Yanga, CAF nadhani wanaweza kuhitimisha kuwa nchi hii imejaa mbumbumbu.
 
Huyu jamaa sidhani kama ana akili timamu . Nahisi dishi linayumba Maana hakuna siku hata Moja amewahi kuandika cha Maana tofauti na haya mashudu yake.
 
Unajidhihirisha ufinyu wa akili yako au mahaba yamekuzidi au unaamua kupotosha makusudi au hukusoma kwa umakini uwasilishaji wa mleta mada.
Kwa ufupi kabisa wenzako wameiwahisha kesi ili zisipite siku 21 baada ya tukio linalolalamikiwa ili kuendana matakwa ya CAS baada ya kuona Kuna delaying tactic ya makusudi kuingina haki yake ya kukatpa rufaa CAS.
 
Walikuwa wanawahi nini sasa kama walijua fika hata kuwahi kwao hakuwezi kuwasaidia chochote kwasababu kuna hatua za awali hawajazipitia?
 
Nyie ni wapumbavu na ulichokiandika ni upumbavu pro max..
Yani mna wanasheria ambao hawajui kesi inaanzia wapi hiyo ni timu au kijiwe cha kahawa..
Letenk timu mgongwe...
Daah yaani hii Simba Kayombo imfunge mtu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…