kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,089
- 9,664
Utopolo hili tamko mmemshirikisha Mgongolwa Kweli...?.Au Kalitoa Mzee Mpili...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais wenu ni msomaliMsomali anatuharibia mpira
Iko hiviYanga: Tunamuunga mkono manara kudai haki vyombo vya juu zaidi
Klabu ya Yanga imesema kuwa adhabu ya Ofisa Habari wao, Haji Manara kufungiwa miaka miwili kujihusisha na soka na faini ya Tsh. Milioni 20 siyo ya haki na adhabu ni kubwa.
Yanga wametoa tamko na kueleza kuwa inamuunga mkono Manara katika kudai haki yake kwenye vyombo vya juu zaidi vya kimamlaka. Adhabu ya Afisa huyo imetangazwa leo Julai 21, 2022 na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania.
Huu ni ujinga sasa ,Haji kahukumiwa na jopo si TFF hata aende wapi hakuna msaadaClub ya Yanga imetoa tamko lake kuhusu hukumu aliyopewa Msemaji wake Haji Manara na kusema hajatendewa haki hivyo inamuunga mkono katika kudai haki yake kwenye vyombo vya juu zaidi vya kimamlaka.
“Uongozi wa Club umepokea kwa masikitiko makubwa uamuzi wa Kamati ya maadili ya TFF, adhabu hii inakwenda kuathiri moja kwa moja mchango wa Ndugu Haji Manara katika maendeleo ya mpira wa miguu kwenye Club yake, Ligi Kuu Znz, Ligi Kuu Tanzania bara na Nchi jirani (Burundi) ambazo amezihudumu” imeeleza taarifa ya Yanga.
My take: Karia wewe ni mtu mdogo sana, nazidi kumsihi ndugu Majaliwa aliye kuweka hapo kuwa akupigie simu kukujulisha kuwa wewe ni mdogo sana. Namkumbusha ndugu Majaliwa kuwa alikupigia simu wewe baada ya yeye kupokea simu toka sehemu nyingine. Atafakari.
Tunaomba ufafanuzi tafadhali mkuuMtu mweusi ni silaha tosha kabisa.
Wangeandika na adhabu wanayopendekeza apewe.😂😂😂😂Yanga: Tunamuunga mkono manara kudai haki vyombo vya juu zaidi
Klabu ya Yanga imesema kuwa adhabu ya Ofisa Habari wao, Haji Manara kufungiwa miaka miwili kujihusisha na soka na faini ya Tsh. Milioni 20 siyo ya haki na adhabu ni kubwa.
Yanga wametoa tamko na kueleza kuwa inamuunga mkono Manara katika kudai haki yake kwenye vyombo vya juu zaidi vya kimamlaka. Adhabu ya Afisa huyo imetangazwa leo Julai 21, 2022 na Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania.
.Huyo manara ilitakiwa hata kushika mpira au kupiga danadana tu asiruhusiwe pia.
Wallace Karia ni mjinga mmoja hivi mwenye itikadi za kimagufuli. Binafsi nilimdharau siku za mwanzoni za uongozi wake kwa kutoa ile kauli yake ya kuwachukulia hatua kali watu wote wenye tabia za utundulisu! Yaani watu wenye mawazo mbadala.Huyu Karia mbona kama uongozi wake ndio unaongoza kufungia watu na fine zisizo na mashiko.
Kumbe na kwenye mpira pi hakuna demokrasia!
Yanga wenye akili ni mzee manara na kikwete pekeyao wengine wote vilazaWallace Karia ni mjinga mmoja hivi mwenye itikadi za kimagufuli. Binafsi nilimdharau siku za mwanzoni za uongozi wake kwa kutoa ile kauli yake ya kuwachukulia hatua kali watu wote wenye tabia za utundulisu! Yaani watu wenye mawazo mbadala.
Mimi si shabiki wa Haji Manara na ule mdomo wake mchafu! Ila namuunga mkono katika jambo hili la kumkoromea huyo Karia hadharani, maana anajiona kama mungu mtu vile.
Anataka aogopwe kama Rais nchi! na wakati yeye ni rais tu wa TFF! Na ambaye hana tofauti yoyote ile na rais wa CWT, simba, Yanga, Wasafi, FM Academia, nk.
Shostieeeee utapasuka bureeee, wee kamlipie faini shogaa ako Takadini. Acha kulia lia bhana.Wallace Karia ni mjinga mmoja hivi mwenye itikadi za kimagufuli. Binafsi nilimdharau siku za mwanzoni za uongozi wake kwa kutoa ile kauli yake ya kuwachukulia hatua kali watu wote wenye tabia za utundulisu! Yaani watu wenye mawazo mbadala.
Mimi si shabiki wa Haji Manara na ule mdomo wake mchafu! Ila namuunga mkono katika jambo hili la kumkoromea huyo Karia hadharani, maana anajiona kama mungu mtu vile.
Anataka aogopwe kama Rais nchi! na wakati yeye ni rais tu wa TFF! Na ambaye hana tofauti yoyote ile na rais wa CWT, simba, Yanga, Wasafi, FM Academia, nk.
OkayYanga: Tunamuunga mkono manara kudai haki vyombo vya juu zaidi