Yanga: Haji Manara hajatendewa haki, tunamuunga mkono kudai haki vyombo vya juu zaidi

Iko hivi
 
Huu ni ujinga sasa ,Haji kahukumiwa na jopo si TFF hata aende wapi hakuna msaada
 
Yanga ni timu inayosikitisha sana , kumbe ndiyo maana wamechukua ubingwa wa ndani mara nyingi ila huko nje wanazidiwa na Simba
They are arrogant kwa kweli ,mtu akosee ninyi mpinge adhabu ,hii ni professionalism ya wapi !?
 
Kwani adhabu za kufungiwa ndio zimeanza leo? Wasiingize siasa kwenye mpira.. kamati imefanya kazi yake iheshimiwe.
 
Unafiki umetawala mpira wa Tanzania kwa kiwango cha juu sana, kote kuanzia viongozi wa vilabu, mashabiki wao, mpaka wasemaji uchwara wasio na kichwa wala miguu.

Huyu Haji anayeonekana leo ameonewa, ni yeye aliyekuwa wa kwanza kuomba msamaha, tena mwenyewe akasema msamaha wake hauhusiani na adhabu atakayopewa, huyu alikiri kosa, ajabu ameadhibiwa wanatokea wenye kumbukumbu fupi wanaona ameonewa.

Kwangu Manara anastahili adhabu aliyopewa, huruma za ajabu za kumtetea zinazoibuka sasa ni mfano tu wa tabia za kinafiki za watanzania. Manara alikuwa anafungua hovyo mdomo wake asijue alikuwa anajipeleka shimoni, sasa ni wakati wake kula amatunda ya ule ujinga wake.
 
Wangeandika na adhabu wanayopendekeza apewe.😂😂😂😂
 
Wakati anafanya ujinga wa kutukana na kukejeli watu walikaa kimya leo yamemfika wanaanza kulia lia waache waende wakapigwe faini kama walishindwa kwenye kesi ya Morrison mchezaji wao ndo itakuwa hyo ya msekule ambayo CAF hawaitambui hyo nafasi yake.
 
Huyo manara ilitakiwa hata kushika mpira au kupiga danadana tu asiruhusiwe pia.
 
Huyu Karia mbona kama uongozi wake ndio unaongoza kufungia watu na fine zisizo na mashiko.
Kumbe na kwenye mpira pi hakuna demokrasia!
Wallace Karia ni mjinga mmoja hivi mwenye itikadi za kimagufuli. Binafsi nilimdharau siku za mwanzoni za uongozi wake kwa kutoa ile kauli yake ya kuwachukulia hatua kali watu wote wenye tabia za utundulisu! Yaani watu wenye mawazo mbadala.

Mimi si shabiki wa Haji Manara na ule mdomo wake mchafu! Ila namuunga mkono katika jambo hili la kumkoromea huyo Karia hadharani, maana anajiona kama mungu mtu vile.

Anataka aogopwe kama Rais nchi! na wakati yeye ni rais tu wa TFF! Na ambaye hana tofauti yoyote ile na rais wa CWT, simba, Yanga, Wasafi, FM Academia, nk.
 
Yanga wenye akili ni mzee manara na kikwete pekeyao wengine wote vilaza
 
Shostieeeee utapasuka bureeee, wee kamlipie faini shogaa ako Takadini. Acha kulia lia bhana.

Byuti byuti

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…