Yanga hamna timu, tusidanganyane

Yanga hamna timu, tusidanganyane

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Nimeaangalia gemu vizuri, hata ukitoa povu lakini hizi ndio facts.

1. Utopolo hawana timu, umebaki ujanja ujanja tu ambao Azam walishaung'amua nje ya uwanja.

2.Utopolo wataishia hatua za awali tu, uwezo wa kwenda kuwafunga Al Hilal au St George kwa mpira ule hawana

3.Kocha wao hana uwezo, anabebwa na matukio ya ufundi nje ya uwanja

4.Wachezaji wa utopolo wazee sana, Bigirimana anatakiwa akalee wajukuu huo Burundi

5.Tuhuma za utopolo kwa TFF mara kwa mara lengo lake ni kuwatisha waamuzi ili wapate mbeleko

6.Nakiri na kutamka kwa ulimi Mayele ni mtu kazi

7.Kijana wa kizanzibar ndie nyota wa mambo ya ufund nje ya uwanja, alianzia benchi kimkakati kutokana na mambo yetu yale

8.Soka la bongo kwa yaliyotokea Leo ni mzaha mtupu
 
Mara ya mwisho timu lako lilipigwa mbili na yanga hihii ajabu ninini au umesahau mayele alivyo tetema nyuma ya bukta zenu mara mbili, kama unaona leo yanga kabebwa leta makolo wenzako uwanjani
Hili ndio mililokalia

Ndugu zetu mna magoli ya plastic hata ipite miaka buku hayajawahi kuoza mtazidi tu kukumbushia kila siku.

Kweli nimeamini Yanga mnaamini sana kwenye historia na ndio maana mme hire wazee wengi kwa lengo la kuifanya historia ya miaka ya nyuma isipotee.
 
Nimeaangalia gemu vizuri, hata ukitoa povu lakini hizi ndio facts.

1. Utopolo hawana timu, umebaki ujanja ujanja tu ambao Azam walishaung'amua nje ya uwanja.

2.Utopolo wataishia hatua za awali tu, uwezo wa kwenda kuwafunga Al Hilal au St George kwa mpira ule hawana

3.Kocha wao hana uwezo, anabebwa na matukio ya ufundi nje ya uwanja

4.Wachezaji wa utopolo wazee sana, Bigirimana anatakiwa akalee wajukuu huo Burundi

5.Tuhuma za utopolo kwa TFF mara kwa mara lengo lake ni kuwatisha waamuzi ili wapate mbeleko

6.Nakiri na kutamka kwa ulimi Mayele ni mtu kazi

7.Kijana wa kizanzibar ndie nyota wa mambo ya ufund nje ya uwanja, alianzia benchi kimkakati kutokana na mambo yetu yale

8.Soka la bongo kwa yaliyotokea Leo ni mzaha mtupu
Unaweweseka tulia utapata kifafa cha mimba
1662391408901.jpg
 
Hili ndio mililokalia

Ndugu zetu mna magoli ya plastic hata ipite miaka buku hayajawahi kuoza mtazidi tu kukumbushia kila siku.

Kweli nimeamini Yanga mnaamini sana kwenye historia na ndio maana mme hire wazee wengi kwa lengo la kuifanya historia ya miaka ya nyuma isipotee.
Pole na maumivu kunywa maji mengi
 
Hili ndio mililokalia

Ndugu zetu mna magoli ya plastic hata ipite miaka buku hayajawahi kuoza mtazidi tu kukumbushia kila siku.

Kweli nimeamini Yanga mnaamini sana kwenye historia na ndio maana mme hire wazee wengi kwa lengo la kuifanya historia ya miaka ya nyuma isipotee.
Shida kubwa ya makolo huwa mnaingia uwanjani na matokeo yenu, subirini dawa iwaingie
 
Kwahiyo leo wamebebwa, ila siku ile waitandike mikolo kolo hawakubebwa au sio.
Sio peke yenu mpaka Azam nao leo wamebebwa kwa kiasi chake

Utofauti unakuja pale ambapo nyinyi ambao mmebebwa katika matukio mengi ndio mmekuwa mkilaumu sana timu zingine zikinufaika na makosa ya muamuzi na kudai Yanga inachukiwa.

Matukio ambayo Yanga wamebebwa leo yalikuwa ynainufaisha Yanga katika kufunga magoli, katika kunusuru magoli na katika kupungukiwa na mcgezaji mmoja ndani

Wakati Azam walikuwa wanufaika kwa kunusuru kucheza wakiwa pungufu

Hiyo ya Azam ilikuwa haina faida sana kwao kuliko hizo favour walizopewa Yanga ambazo zingeweza kubadili matokeo ya mchezo na kufanya mpira uishe Yanga wakifungwa
 
Mbumbumbu fc wamehuzunika sana. Wakitaka kumlaumu Kipa wa Azam, wanakumbukia Kwa Manula, na Kakolanya[emoji2][emoji2][emoji2] Fei toto mtu mmbaya sana.
 
Shida kubwa ya makolo huwa mnaingia uwanjani na matokeo yenu, subirini dawa iwaingie
Ukilijua hili basi sitegemei kukuona ukifata mkumbo wa msomi wenu Manara kuwalaumu marefa na TFF kuwa wanazibeba timu zingine na kuichukia Yanga
 
Msimu uliopita Simba na Yanga zimekutana Mara nne,

1.Ilikuwa ngao ya jamii , Yanga alishinda mechi na kuibana ngao kwapani.

2.Tulitoa sare mechi ya mzunguko wa kwanza.

3.Tukatoa sare mechi ya mzunguko wa pili.

4.Tukakutana nusu fainali kwenye ASFC , tukashinda na Fei toto wetu bila shida yeyote.

Yaani ni hivi, kwa Yale mashindano ambayo lazima mshindi apatikane, basi my favorite team ilishinda.

Msimu huu Yanga na Simba tumekutana Mara moja, kwenye ngao

Majibu ni yanajulikana.

Kwenye ligi msimu uliopita Yanga imechukua ubingwa wa ligi kuu bila kufungwa. Naam bila kufungwa.
 
Mbumbumbu fc wamehuzunika sana. Wakitaka kumlaumu Kipa wa Azam, wanakumbukia Kwa Manula, na Kakolanya[emoji2][emoji2][emoji2] Fei toto mtu mmbaya sana.
Sisi tunahuzunika mpira kuchezeshwa unfair, hili huwezi kuliona kwasababu limeleta advantage upande wako

Uko sahihi kwa hilo kwasababu ya mahaba ya timu yako. Ila kumbuka kuna siku linaweza kuikumba timu yako ikawa ni victim dhifi ya timu nyingine.

Tafadhali msije leta fujo muelewe kuwa ni human error kama ilivyotokea leo kwa upande wenu
 
Msimu uliopita Simba na Yanga zimekutana Mara nne,

1.Ilikuwa ngao ya jamii , Yanga alishinda mechi na kuibana ngao kwapani.

2.Tulitoa sare mechi ya mzunguko wa kwanza.

3.Tukatoa sare mechi ya mzunguko wa pili.

4.Tukakutana nusu fainali kwenye ASFC , tukashinda na Fei toto wetu bila shida yeyote.

Yaani ni hivi, kwa Yale mashindano ambayo lazima mshindi apatikane, basi my favorite team ilishinda.

Msimu huu Yanga na Simba tumekutana Mara moja, kwenye ngao

Majibu ni yanajulikana.

Kwenye ligi msimu uliopita Yanga imechukua ubingwa wa ligi kuu bila kufungwa. Naam bila kufungwa.
Yanga kuchukua ligi bila kufungwa sio stori mpya kwenye ligi yetu, simba ilishafanya hivyo miaka tisa au kumi nyuma kama sikosei.

Na hata ukikaa chini kufanya calculations ya hizo mechi utaona kabisa zile mechi ambazo Yanga ali draw kwa asilimia kubwa matokeo hayo yalilazimishwa na filimbi ya muamuzi.

Refer kwenye mechi yenu na namungo utaona ile sare mliyoipata it wasn't meant to be ila kupitia refa akafosi na kuwapa faida nyinyi.

Ngoja tuwaone kimataifa kama mtakutana na mazari ya dzaini hii
 
Sio peke yenu mpaka Azam nao leo wamebebwa kwa kiasi chake

Utofauti unakuja pale ambapo nyinyi ambao mmebebwa katika matukio mengi ndio mmekuwa mkilaumu sana timu zingine zikinufaika na makosa ya muamuzi na kudai Yanga inachukiwa.

Matukio ambayo Yanga wamebebwa leo yalikuwa ynainufaisha Yanga katika kufunga magoli, katika kunusuru magoli na katika kupungukiwa na mcgezaji mmoja ndani

Wakati Azam walikuwa wanufaika kwa kunusuru kucheza wakiwa pungufu

Hiyo ya Azam ilikuwa haina faida sana kwao kuliko hizo favour walizopewa Yanga ambazo zingeweza kubadili matokeo ya mchezo na kufanya mpira uishe Yanga wakifungwa
Hii sumu utalala vibaya saana leo
 
Yanga kuchukua ligi bila kufungwa sio stori mpya kwenye ligi yetu, simba ilishafanya hivyo miaka tisa au kumi nyuma kama sikosei.

Na hata ukikaa chini kufanya calculations ya hizo mechi utaona kabisa zile mechi ambazo Yanga ali draw kwa asilimia kubwa matokeo hayo yalilazimishwa na filimbi ya muamuzi.

Refer kwenye mechi yenu na namungo utaona ile sare mliyoipata it wasn't meant to be ila kupitia refa akafosi na kuwapa faida nyinyi.

Ngoja tuwaone kimataifa kama mtakutana na mazari ya dzaini hii
Umekataa mambo ya history alf unaleta tena history tushike lipi?
 
Leo Azam tumewapelekea moto nyie Kum*
 
Back
Top Bottom