Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Nimeaangalia gemu vizuri, hata ukitoa povu lakini hizi ndio facts.
1. Utopolo hawana timu, umebaki ujanja ujanja tu ambao Azam walishaung'amua nje ya uwanja.
2.Utopolo wataishia hatua za awali tu, uwezo wa kwenda kuwafunga Al Hilal au St George kwa mpira ule hawana
3.Kocha wao hana uwezo, anabebwa na matukio ya ufundi nje ya uwanja
4.Wachezaji wa utopolo wazee sana, Bigirimana anatakiwa akalee wajukuu huo Burundi
5.Tuhuma za utopolo kwa TFF mara kwa mara lengo lake ni kuwatisha waamuzi ili wapate mbeleko
6.Nakiri na kutamka kwa ulimi Mayele ni mtu kazi
7.Kijana wa kizanzibar ndie nyota wa mambo ya ufund nje ya uwanja, alianzia benchi kimkakati kutokana na mambo yetu yale
8.Soka la bongo kwa yaliyotokea Leo ni mzaha mtupu