THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Daaah!!! Na zaylisa😂Yanga akifungwa tuhuma zote tunamshushia manara mambo yanakuwa safi
Msemaji wa Mashabiki wa yanga au sio??Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.
Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.
Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahat mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8
#tHeFiRstBoRn
Umewaza kabisa Yanga itafungwa na Debora FCHabari!

Nimebook hii reply yako nitakuja tarehe 8 ndugu yangu.Kwa sasa tupo Gadoo tupo na wachezaji wetu iwe jua iwe mvua...huwezi sikia kelele..
Ila Wabongo😂Umewaza kabisa Yanga itafungwa na Debora FC
Unataka vita😂Ndiyo maana Mwenyekiti wao wa zamani alikosa uvumilivu na hivyo kuamua kuwachana live kwenye mkutano kwa kuwaita lile jina lao pendwa.
Una uhuru wa kuwaza hivoMsemaji wa Mashabiki wa yanga au sio??
Kiroho...!Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.
Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.
Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahat mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8
#tHeFiRstBoRn
Ushaniona mimi nalalamika au nalalamikia uongozi?.utakua umenifananisha ndg yangu...ila wapo wenye nongwa utawaona.Nimebook hii reply yako nitakuja tarehe 8 ndugu yangu.
Shangaa na wewe.Hivi simba ujasiri wa kuamini mtaifunga yanga mnautoa wapi?
Serious kuna kolo linaamini simba ataifunga yanga?
Yanga kila ikifungwa na simba inasambaratika. Na tarehe 08 haamtoki churaHabari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.
Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.
Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahat mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8
#tHeFiRstBoRn
Lini Yanga ashafungwa akasambaratika?Yanga kila ikifungwa na simba inasambaratika. Na tarehe 08 haamtoki chura