Yanga hata kama wakifungwa tarehe 8 always viongozi na mashabiki watakua positive ila tatizo ni upande wa Simba

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.

Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.

Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahati mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8

Soma Pia: Boiboi mkali: Natamani Simba wasikutane na Yanga tarehe 8

#tHeFiRstBoRn
 
Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.

Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.

Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahat mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8
#tHeFiRstBoRn
Msemaji wa Mashabiki wa yanga au sio??
 
Umewaza kabisa Yanga itafungwa na Debora FC
 
Kiroho...!
Chanzo Cha kuanzishwa Kwa Simba, Yani ile Asili yake...!
Ndo inabeba yote haya, there's nothing you can do...!
 
Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.

Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.

Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahat mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8
#tHeFiRstBoRn
Yanga kila ikifungwa na simba inasambaratika. Na tarehe 08 haamtoki chura
 
Back
Top Bottom