THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
- Thread starter
-
- #21
Mkuu yani kuna Team hapa Bongo hua inajipa asilimia 100 kila kitu na ikitokea imefeli haina subra utasikia kila aina ya maneno.Mkuu kama ulikuepo vile, mpira unahitaji uvumilivu na uelewa tu vinginevo utafukuza Kila kukicha.
Wewe utakua una ugulia maumivu!!!Ushaniona mimi nalalamika au nalalamikia uongozi?.utakua umenifananisha ndg yangu...ila wapo wenye nongwa utawaona.
Ngoja nimcheki mzee MAGOMA kwanza.Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.
Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.
Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahat mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8
#tHeFiRstBoRn
Kama kocha wenu alivyowachana na bado mkamlipa na hela.Ndiyo maana Mwenyekiti wao wa zamani alikosa uvumilivu na hivyo kuamua kuwachana live kwenye mkutano kwa kuwaita lile jina lao pendwa.
Si juzi tu mmebondwa 2 kwa bila? Ngao ya jamii simba si kachukua kwa yanga au?Hivi simba ujasiri wa kuamini mtaifunga yanga mnautoa wapi?
Serious kuna kolo linaamini simba ataifunga yanga?
Kisaikolojia ukichukia jina unasikia vibaya ukiitwa kwa jina hilo, dawa ni kulikubali jina na kulitumia hata watu wakikuita inakuwa fresh tu, mi ni Yanga na jina uto nimelipokea na wala sisikii vibaya wakituita mashabiki wa Yanga kama utopolo au uto, kwangu fresh tu maana kipondo tunachowapa makolokocho mbumbumbu FC ni next level, hivi sasa ushindi dhidi yetu wanautafuta kwa tochi Pemba , Sumbawanga hadi Nigeria.Ila linanikeraa hili Jina letu tunaloitwa et Utopoloo,aaseee hakuna mchawiii humu anisaidie,
Wewe ndio utakua wakwanza kumkosoa kocha.MFA MAJI.alafu simba tumetulia tu,
Mara ohoo tutawafunga nane.sisi kimya. Sasa hivi mmeanza kuogopa.tukutane uwanjani .
tuombeane uzima
Yote ongeeni.sisi walaaa.Wewe ndio utakua wakwanza kumkosoa kocha.
Na hvivi kocha anamaluelue ya kurukaruka kama Guardiola basi msimu huu ata jambaa mnoo .
Huu uzi ni kama vile umeuanzisha baada ya kuchungulia kitu fulani.Nimebook hii reply yako nitakuja tarehe 8 ndugu yangu.
Dada umenisusa kweli ila nakumiss sana. How are you.?Ushaniona mimi nalalamika au nalalamikia uongozi?.utakua umenifananisha ndg yangu...ila wapo wenye nongwa utawaona.
Hamisa FC lazima kesho mupasukeUmewaza kabisa Yanga itafungwa na Debora FC
Kweli kabisa.Habari!
Ukweli mwingine ni huu apa ikitokea Yanga akapoteza game ya tarehe 8 usi expect mashabiki wala vipngozi wao kutoleana maneno na kusontana huku mashabiki wakianza kuisema team vibaya.
Ila Simba wakifungwa tu nakwambia utasikia mashabiki wanasema yule mchezaji flan hakuna mchezaji mle ametupiga NGUNGU mara MO..mara Kocha Mbovu hana Mbinu Mara Beki za pembeni zimechoka.
Always Yanga hua wapo positive sana na hua wanaamini wamepoteza kwa bahati mbaya ila upande wa pili ndio shida ilipo kama huamini Ngoja utaona tarehe 8
Soma Pia: Boiboi mkali: Natamani Simba wasikutane na Yanga tarehe 8
#tHeFiRstBoRn
Goli Tano bila walisambaratika Mkuu,mtafute Mchunga muulize kilichomkuta akaamua kujiuzuru.Lini Yanga ashafungwa akasambaratika?
Lini au ume reply ili na wewe wasome comment yako?
Na hamissaYanga akifungwa tuhuma zote tunamshushia manara mambo yanakuwa safi
Am good...vipi ww jamani? Unapotea sana huku...Dada umenisusa kweli ila nakumiss sana. How are you.?