Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz
Wanangu hii nyingine nawapa muishi nao, Yanga haiwezi toboa kwenda robo fainali sababu zinaweza kuwa ndogo ila za msingi sana ( zinahitaji akili kubwa kuzielewa )
1. Yanga kachukua points nne dhidi ya mazembe ambayo ipo dhoofu Sanaa
2. Kachukua points 3 kwa Al hilal, ila unahisi Jana Yanga alistahili kushinda??, zile chances za hatari ambazo Al hilal walitengeneza na kushinda kubadilisha kuwa mabao unahisi waarabu ( mc alger) haiwezi kuwa turning point Yao?
Tuishi humu wanangu naona kabisa Yanga hafuzu
Nb: haya ni mawazo na utabiri wangu, sio lazima ukubaliane nao, kama unabisha tuache muda uondee alafu ruksa kunikosoa ( sio ugomvi sawa??? )