Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz

Wanangu hii nyingine nawapa muishi nao, Yanga haiwezi toboa kwenda robo fainali sababu zinaweza kuwa ndogo ila za msingi sana ( zinahitaji akili kubwa kuzielewa )

1. Yanga kachukua points nne dhidi ya mazembe ambayo ipo dhoofu Sanaa

2. Kachukua points 3 kwa Al hilal, ila unahisi Jana Yanga alistahili kushinda??, zile chances za hatari ambazo Al hilal walitengeneza na kushinda kubadilisha kuwa mabao unahisi waarabu ( mc alger) haiwezi kuwa turning point Yao?

Tuishi humu wanangu naona kabisa Yanga hafuzu

Nb: haya ni mawazo na utabiri wangu, sio lazima ukubaliane nao, kama unabisha tuache muda uondee alafu ruksa kunikosoa ( sio ugomvi sawa??? )
Uyo mazembe unayesema ni mbovu hao Mc alger walimfunga goli ngapi kwao? Wamemfunga kwa mbinde kwa goli la penalty ya mchongo toka kwa mwamuzi Tena wakiwa kwao Algeria vinginevyo wasingetoka kwa mazembe,,alafu unaposema Al hilal walitengeneza nafasi kwani yanga wao walitengeneza nafasi ngapi za hatari? Uliangalia Mpira ama ulisimuliwa? Mihemko ya kishabiki mda mwingine ni ya ovyo sana kaangalie takwimu sio porojo zako hizo
 
Mashabiki wa simba wanaumia sana kwa hiki Yanga wanachofanya baada ya Yanga kufungwa mechi mbili za mwanzoni walijua kabisa Yanga ndo safari imeishia pale kuona Yanga leo ana-point 7 na ananafasi ya kufuzu wanaumia sana
 
Nimesikitika sana maoni haya kutolewa na dawa ya 400mg..
Yani hizo ndio sababu ulizoona zina mashiko kabisa et walitengeneza nafasi nyingi za hatari kama zipi?
Mashuti yaliyolenga lango Yanga ilipiga 5 wakati wao wakawa na 2..
Hata yale ambayo hayakulenga lango Yanga pia iliongoza sasa nambie kwa takwimu hizo ni nani aliefikiwa sana?
Haya hao Mazembe unaosema ni unga wamecheza na hao unaosema ni bora tena kwao lakini wameshinda kwa binde kwa kagoli ka penati lakini hapa kwa Mkapa Yanga alimkanda goli tatu zilizonyooka kabisa..
Jifunze mpira kolo au kama vipi endelea na kazi ya uganga wa kienyeji mbona bado kuna maboya kibao ya kuyapiga..
Ilimradi tu nae kaanzisha uzi. Anachokieleza wala hakielewi
 
Kama yanga kamfunga al hilal ugenini,sihitaji kuongea sana,tusubir tu hyo mechi ya mwisho
 
Uyo mazembe unayesema ni mbovu hao Mc alger walimfunga goli ngapi kwao? Wamemfunga kwa mbinde kwa goli la penalty ya mchongo toka kwa mwamuzi Tena wakiwa kwao Algeria vinginevyo wasingetoka kwa mazembe,,alafu unaposema Al hilal walitengeneza nafasi kwani yanga wao walitengeneza nafasi ngapi za hatari? Uliangalia Mpira ama ulisimuliwa? Mihemko ya kishabiki mda mwingine ni ya ovyo sana kaangalie takwimu sio porojo zako hizo
Watu wanaoelezea wasichokielewa tena comfortably ni wa kuwapuuza tu mkuu. Kaeleza as if mpira aliangalia peke yake then kaja kutuelezea humu
 
Ukiangalia zile timu za shirikisho ni kichekesho ndo maana yanga alifika fainal bravo na ili timu ya tunisia wote wako nafasi ya nane kwenye ligi za kwao
Ila kuna malipo mazuri tu kila unapovuka hatua moja kwenda nyingine.
 
Mtu katoa maoni yake unasema Simba.
Sasa Simba inachanganyikiwaje na ilishapita hatua inayofata kwenye mashindano inayocheza?
thibitisha kama mleta mada si shabiki wa SIMBA.
 
Back
Top Bottom