Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu zako hazina mashiko ndio maana nimekuhoji,,unaposema Al hilal ilitengeneza hatari vipi hatari za yanga ukuziona? Unasema mc alger ni hatari kuliko yanga uhatari wake uko wapi kama tu Tp mazembe unayesema ni kibonde alimtoa kamasi nyumbani kwake mpaka mwamuzi akaingilia kati kutoa penalty ya mchongo,,nadhani hoja auna umesukumwa na mihemko tu!Msingi wa hoja yangu hapa ni kuwa siioni yangu robo fainali, sababu nimezielezea hapo juu, niliweka tahadhari kabla ya kupost nikijua mashabiki lialia Kama ww ni ngumu kuelewa, nimetoa sababu kwa maelezo marahisi sana haya ikitimia sijui utaongea Nini kujitetea
Sababu zako hazina mashiko ndio maana nimekuhoji,,unaposema Al hilal ilitengeneza hatari vipi hatari za yanga ukuziona? Unasema mc alger ni hatari kuliko yanga uhatari wake uko wapi kama tu Tp mazembe unayesema ni kibonde alimtoa kamasi nyumbani kwake mpaka mwamuzi akaingilia kati kutoa penalty ya mchongo,,nadhani hoja auna umesukumwa na mihemko tu!Msingi wa hoja yangu hapa ni kuwa siioni yangu robo fainali, sababu nimezielezea hapo juu, niliweka tahadhari kabla ya kupost nikijua mashabiki lialia Kama ww ni ngumu kuelewa, nimetoa sababu kwa maelezo marahisi sana haya ikitimia sijui utaongea Nini kujitetea
Una tatizo pahalaMsingi wa hoja yangu hapa ni kuwa siioni yangu robo fainali, sababu nimezielezea hapo juu, niliweka tahadhari kabla ya kupost nikijua mashabiki lialia Kama ww ni ngumu kuelewa, nimetoa sababu kwa maelezo marahisi sana haya ikitimia sijui utaongea Nini kujitetea
Sawa TUACHE MUDA uongeeSababu zako hazina mashiko ndio maana nimekuhoji,,unaposema Al hilal ilitengeneza hatari vipi hatari za yanga ukuziona? Unasema mc alger ni hatari kuliko yanga uhatari wake uko wapi kama tu Tp mazembe unayesema ni kibonde alimtoa kamasi nyumbani kwake mpaka mwamuzi akaingilia kati kutoa penalty ya mchongo,,nadhani hoja auna umesukumwa na mihemko tu!
Sawa acha muda uongeeUna tatizo pahala
Mkuu hebu nitajie movies kali zenye story nzuri sio lazima mapigano nikaruke nazo chapUna tatizo pahala
Jibu swali Yanga alitengeneza nafasi hakutengeneza na tuletee takwimu za mchezo huo hapa.Msingi wa hoja yangu hapa ni kuwa siioni yangu robo fainali, sababu nimezielezea hapo juu, niliweka tahadhari kabla ya kupost nikijua mashabiki lialia Kama ww ni ngumu kuelewa, nimetoa sababu kwa maelezo marahisi sana haya ikitimia sijui utaongea Nini kujitetea
Nina series na muvi kalii hapaMkuu hebu nitajie movies kali zenye story nzuri sio lazima mapigano nikaruke nazo chap
Baada ya kufuzu mtarudi na yale ya IbengeAfuzu kwenda wapiiii,Niko hapa haingii robo hata kwa manati
Hufuzu wewe,tunashukuru Mungu upo bize,umeacha kupokea wageni KalpanaBaada ya kufuzu mtarudi na yale ya Ibenge
Makolo a.k.a mwakarobo, mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga haina uwezo wa kuingia robo fainali..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mmepigwa mara nne mfululizo na Yanga. Sasa sijui na nyie dhohofu wakati mnapigwa mara nne mfululizo au la..!!Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz
Wanangu hii nyingine nawapa muishi nao, Yanga haiwezi toboa kwenda robo fainali sababu zinaweza kuwa ndogo ila za msingi sana ( zinahitaji akili kubwa kuzielewa )
1. Yanga kachukua points nne dhidi ya mazembe ambayo ipo dhoofu Sanaa
2. Kachukua points 3 kwa Al hilal, ila unahisi Jana Yanga alistahili kushinda??, zile chances za hatari ambazo Al hilal walitengeneza na kushinda kubadilisha kuwa mabao unahisi waarabu ( mc alger) haiwezi kuwa turning point Yao?
Tuishi humu wanangu naona kabisa Yanga hafuzu
Nb: haya ni mawazo na utabiri wangu, sio lazima ukubaliane nao, kama unabisha tuache muda uondee alafu ruksa kunikosoa ( sio ugomvi sawa??? )
Wageni wao wameshafika 😂😂Kuhusu wageni hawataki kusikia...
Hii comment umeisevu sehemu sio ,una copy tu na kupest.Makolo a.k.a mwakarobo, mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga haina uwezo wa kuingia robo fainali..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mmepigwa mara nne mfululizo na Yanga. Sasa sijui na nyie dhohofu wakati mnapigwa mara nne mfululizo au la..!!
1. Yanga ikifungwa;
Hawajui soka
timu haichezi kitimu
Kila mchezaji anajichezea ajuwavyo
Yanga ni mbovu jamani
2. Yanga ikishinda
Bahasha
tiGo pesa
Marefa wamehongwa
GSM anadhamini timu nyingi
wale ni tawi la Yanga
Hawa si wale wa zamani
Ibenge bahasha
Kudra za mwenyezi Mungu
etc..
Ulichokiandika ni muendelezo wa umbumbumbu, ungada, udunduka na umakolo wenu wa kila Yanga inaposhinda.
Ikiuma sema..!!Hii comment umeisevu sehemu sio ,una copy tu na kupest.
Ila mwisho wa kuitumia unakaribia