Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Tuliza presha Jmos hamuendi popoteIkiuma sema..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza presha Jmos hamuendi popoteIkiuma sema..!!
SawaWale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz
Wanangu hii nyingine nawapa muishi nao, Yanga haiwezi toboa kwenda robo fainali sababu zinaweza kuwa ndogo ila za msingi sana ( zinahitaji akili kubwa kuzielewa )
1. Yanga kachukua points nne dhidi ya mazembe ambayo ipo dhoofu Sanaa
2. Kachukua points 3 kwa Al hilal, ila unahisi Jana Yanga alistahili kushinda??, zile chances za hatari ambazo Al hilal walitengeneza na kushinda kubadilisha kuwa mabao unahisi waarabu ( mc alger) haiwezi kuwa turning point Yao?
Tuishi humu wanangu naona kabisa Yanga hafuzu
Nb: haya ni mawazo na utabiri wangu, sio lazima ukubaliane nao, kama unabisha tuache muda uondee alafu ruksa kunikosoa ( sio ugomvi sawa??? )
Safi sana mkuuNina series na muvi kalii hapa
Tracker
The oval
Mayor of Kingston
Your honor
The little drummer
You
Love and death
Sweetpea
Tulsa king
Outer banks
Silo
Fringe
Eric
The cleaning lady
American primeval
Muvi
- Three Days of the Condor
- The Bourne Ultimatum
- The Good Shepherd
- The 355
- The Bourne Supremacy
- Spy Game
- The Sum of All Fears
- Spies Like Us
- The Recruit
- Company Business
- Möbius
- Tenet
- This Means War
- Jack Ryan: Shadow Recruit
- Argo
- Hanna
- Snowden
- Jason Bourne
- All the Old Knives
- Safe House
- All the Old Knives
- Bad Company
- Agent Cody Banks
- The Double
- The Courier
- Fair Game
- The Spy Next Door
- Red
- Zero Dark Thirty
- The Bourne Identity
- Confessions of a Dangerous Mind
- Red Sparrow
- Bridge of Spies
- My Spy
- Tinker Tailor Soldier Spy
- Body of Lies
- Salt
- Charlie Wilson's War
- American Made
- The November Man
Kwa hiyo Kalpana Jmosi tutakula Spana? 😂😂Tuliza presha Jmos hamuendi popote
Usijali ataitumia mechi zijazo hata NBC...hahahKwa hiyo nimepata hasara kumnunulia mke wangu tiketi afanaleki 🙌🙌🥲🥲 sasa pesa itarudi vipi 😭😭
Ni kweli aisee. Maana hiyo game ni kama vile wote wanafosi wapenye halafu tundu ni dogoHahaah navyoona mtani..niliwambja juzi mtashinda..ila jmos kuna kazi kubwa sanaaaa....
SanaaaNi kweli aisee. Maana hiyo game ni kama vile wote wanafosi wapenye halafu tundu ni dogo
Hiyo atapewa Mangungu akanywe BaltikaKwa hiyo nimepata hasara kumnunulia mke wangu tiketi afanaleki 🙌🙌🥲🥲 sasa pesa itarudi vipi 😭😭
Tunaendelea kusubiri siku husika japo tunajiombea dua chanya mtaniSanaaa
Sawa Mama JenyUTo baba Jeny bye bye.
Narudia kwa mara nyingine, tuupe muda, weekend ijayo sio mbali,Makolo a.k.a mwakarobo, mnahaha sana kutafuta kuhalalisha kuwa Yanga haina uwezo wa kuingia robo fainali..!! Na haya mnayaropoka huku mkiwa mmepigwa mara nne mfululizo na Yanga. Sasa sijui na nyie dhohofu wakati mnapigwa mara nne mfululizo au la..!!
1. Yanga ikifungwa;
Hawajui soka
timu haichezi kitimu
Kila mchezaji anajichezea ajuwavyo
Yanga ni mbovu jamani
2. Yanga ikishinda
Bahasha
tiGo pesa
Marefa wamehongwa
GSM anadhamini timu nyingi
wale ni tawi la Yanga
Hawa si wale wa zamani
Ibenge bahasha
Kudra za mwenyezi Mungu
etc..
Ulichokiandika ni muendelezo wa umbumbumbu, ungada, udunduka na umakolo wenu wa kila Yanga inaposhinda.
Hapati hata kidogoMwarabu hafungwi,ataitafuta hiyo sare kwa namna yoyote ile
Siku hiyo olewako ukimbie jukwaaNarudia kwa mara nyingine, tuupe muda, weekend ijayo sio mbali,
mwisho tuuweshimu mpira, Unavyo uheshimu ww kwa Imani Yako na mapenzi Yako, vivyo hivyo kwangu Mimi Metronidazole 400mg sawa??,, natamani na wenzio kina Makavuli na wote waelewe hili, siwezi kumjibu Kila mtu
Tunza hiiNarudia kwa mara nyingine, tuupe muda, weekend ijayo sio mbali,
mwisho tuuweshimu mpira, Unavyo uheshimu ww kwa Imani Yako na mapenzi Yako, vivyo hivyo kwangu Mimi Metronidazole 400mg sawa??,, natamani na wenzio kina Makavuli na wote waelewe hili, siwezi kumjibu Kila mtu
Tunza hii. Tena na wewe huchelewi kusema miujiza..!! Mtabadili lugha mpaka mwisho wa dahaliTuliza presha Jmos hamuendi popote