Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
- Thread starter
- #121
Siwezi kubet chochote.....Mimi naamini ktk mawazo huru, nimetoa utabiri WANGU kupitia kile nilichokiona Mimi Wala sio dhambiBet hapa: (a) Kama wewe ni mwanamme na una mke, Yanga akishinda, umwache mke wako akaolewe kwa mwezi mmoja na shabiki yeyote wa kiume wa ya Yanga. (b) Kama wewe ni mwanaume na huna mke, basi Yanga ikishinda, wewe uolewe na shabiki yeoyte wa kiume wa Yanga atakayekuwa tayari kufanya hivyo kwa miezi mitatu, (c) kama wewe ni mwanamke, basi Yanga ikishinda uwekwe gest ili kila shabiki wa Yanga apitir kwa miezi mitatu wakati wowote.
Pili, sijamkashifu Wala kumtukana shabiki yoyote wa Yanga, kiufupi haya ni maoni yangu binafsi Mimi Metronidazole 400mg
Mpira sio vita Wala ugomvi, Haina haja ya kufika huko unapotaka mkuu, mpira ni burudani, waambie na wenzio sawa??