Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Siku hiyo olewako ukimbie jukwaa
Nitakuwa hapa, na mapenzi ya dhati kupitia ww Vincenzo Jr tukiacha upinzani, nakukubali sana kama mdau wa soka, tukiacha upinzani wa mpira Bado sisi ni ndugu haijalishi unatokwa mkoa Gani ( kambarage Nyerere alimaliza Kila kitu )......mpira sio ugomvi ni daraja la kujifunza kama hakuna chuki ( nothing personal )....na Mimi Metronidazole 400mg nimeliona hilo kwako mkuu, endelea hivyo hivyo, tubishane kwa burudani na kufanya maisha yaende mbele........NIMEMALIZA!!!!......Sasa nilitaka kutoa ya moyoni kwako mwanangu, Bado ya moyoni imebaki kwa my dearest Kalpana siku iishe......nahisi ataisoma hii appreciation post Yako.....na pia yake pia utaisoma mwanangu.....nawakubali sana though hatujuani Vincenzo Jr Kalpana
 
Shukrani sana ndugu yangu
 
Waaooh waoooh msg nzuri sana jioooni ya leoo...asante sana mkuu.... Metronidazole 400mg kiboko ya bacteria broad spectrum...nashukuru sana kwa hilo..halafu kuhusu Vincenzo Jr yani hana baya mtani wetu...
 
Hapa mkuu umeua
 
Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz

Wanangu hii nyingine nawapa muishi nao, Yanga haiwezi toboa kwenda robo fainali sababu zinaweza kuwa ndogo ila za msingi sana ( zinahitaji akili kubwa kuzielewa )

1. Yanga kachukua points nne dhidi ya mazembe ambayo ipo dhoofu Sanaa

2. Kachukua points 3 kwa Al hilal, ila unahisi Jana Yanga alistahili kushinda??, zile chances za hatari ambazo Al hilal walitengeneza na kushinda kubadilisha kuwa mabao unahisi waarabu ( mc alger) haiwezi kuwa turning point Yao?

Tuishi humu wanangu naona kabisa Yanga hafuzu

Nb: haya ni mawazo na utabiri wangu, sio lazima ukubaliane nao, kama unabisha tuache muda uondee alafu ruksa kunikosoa ( sio ugomvi sawa??? )
UMESHADAIIII TKT YAKOOO ULIYOKATAAA

WENZIOO CAF WASHAFANYA YAOOO HUKOOO HAHAHAA NOMAA SANAAA

WAMESUBIRI MTINGE ROBO WAMALIZANE NA NYIE
 
Bado huujui Mpira wewe!

Mshindi Wa world cup Argentina na Ubora wao. Walikufa Kwa saud arabia Kwa Goli kadhaa na wakipoteza mechi lakini still waliweza kupambana na wakafika mwisho. Ili Hali huyo saud Arabia aliyemfunga Argentina hata robo hakutoboa.

Yanga akifungwa na Belozdad Goli 3 away. Na ilionekana kama haiwazekani Kwa Yanga kumfunga belozdad hata Goli mbili. Matokeo Yake wakafa NNE bila, na Yanga akafika Hadi Fainali.

Sembuse Ushindi wowote hata Wa Goli moja?
Ni kweli yanga alifanya comeback ya kibabe ya kushinda 4 kwa Mkapa msimu uliopita . Ila kusema aliingia fainali ni uongo
 
Wale wanangu, ambao mnanikubali na kunifuatilia hapa JF nawapenda na kuwakubali sana, kama nyingi mnavyonipenda na kuja PM kunipongeza kwa tabiri zangu hapa JF ambazo kwa asilimia kubwa Huwa zinatiki, sio matokeo TU Bali kwenye angles mbalimbali za mpira na soka letu la hapa tz

Wanangu hii nyingine nawapa muishi nao, Yanga haiwezi toboa kwenda robo fainali sababu zinaweza kuwa ndogo ila za msingi sana ( zinahitaji akili kubwa kuzielewa )

1. Yanga kachukua points nne dhidi ya mazembe ambayo ipo dhoofu Sanaa

2. Kachukua points 3 kwa Al hilal, ila unahisi Jana Yanga alistahili kushinda??, zile chances za hatari ambazo Al hilal walitengeneza na kushinda kubadilisha kuwa mabao unahisi waarabu ( mc alger) haiwezi kuwa turning point Yao?

Tuishi humu wanangu naona kabisa Yanga hafuzu

Nb: haya ni mawazo na utabiri wangu, sio lazima ukubaliane nao, kama unabisha tuache muda uondee alafu ruksa kunikosoa ( sio ugomvi sawa??? )
Bet hapa: (a) Kama wewe ni mwanamme na una mke, Yanga akishinda, umwache mke wako akaolewe kwa mwezi mmoja na shabiki yeyote wa kiume wa ya Yanga. (b) Kama wewe ni mwanaume na huna mke, basi Yanga ikishinda, wewe uolewe na shabiki yeoyte wa kiume wa Yanga atakayekuwa tayari kufanya hivyo kwa miezi mitatu, (c) kama wewe ni mwanamke, basi Yanga ikishinda uwekwe gest ili kila shabiki wa Yanga apitir kwa miezi mitatu wakati wowote.
 
Waaooh waoooh msg nzuri sana jioooni ya leoo...asante sana mkuu.... Metronidazole 400mg kiboko ya bacteria broad spectrum...nashukuru sana kwa hilo..halafu kuhusu Vincenzo Jr yani hana baya mtani wetu...
Dearest Kalpana, binafsi navutiwa na comments zako na maoni Yako kuhusu mada mbalimbali kwenye jukwaa hili la wapenda michezo hapa JF, kinachonikosha zaidi unaujua mpira na unabishana kwa hoja ni aghalabu sana kuona jinsia ya kike kuona inafuatilia mpira kwa ukaribu sana, sisemi haiwezekani, Bali kwangu naona ni mara chache sana

Naweza kuenda extra miles na kuona kama inawezekana kuwa una kipaji Fulani ila Sasa sijajua ni kwenye angle Gani ktk soka ( but there's something inside you kwenye huu ulimwengu wa soka )

Inawezekana uchambuzi, ukocha, uongozi, scouting, usemaji nk nk ......nakuona kwenye maeneo hayo ndani ya ulimwengu wa mpira

Nina mengii sana ya kukupongeza but inatosha, keep expressing what's inside you and I Metronidazole 400mg believes there's is yes and more opportunities outside there just awaits for you and it's just time and patience matters.

NB: ila ni mawazo yangu based on jukwaa hili (JF SPORTS ), na nimetoa maana maoni yangu kulingana na michango na maoni Yako hapa Jf..

Tuendelee kulijenga hili jukwaa letu pendwa kwa mawazo hasi na changa kwa lengo kuu la kuukuza soka letu. Chaos!!! Kalpana
 
Back
Top Bottom