Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Bado huujui Mpira wewe!

Mshindi Wa world cup Argentina na Ubora wao. Walikufa Kwa saud arabia Kwa Goli kadhaa na wakipoteza mechi lakini still waliweza kupambana na wakafika mwisho. Ili Hali huyo saud Arabia aliyemfunga Argentina hata robo hakutoboa.

Yanga akifungwa na Belozdad Goli 3 away. Na ilionekana kama haiwazekani Kwa Yanga kumfunga belozdad hata Goli mbili. Matokeo Yake wakafa NNE bila, na Yanga akafika Hadi Fainali.

Sembuse Ushindi wowote hata Wa Goli moja?
Yaani mlimfunga BELOUZDAD bao nne mkafika hadi fainali? Kweli wewe ni utopolo,
 
Kesho itakuwa siku ya kupasua makalkuleta,mashabiki wa yanga mkutane makao makuu ya timu jangwani
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
wamechanganyikiwa sana..ile juzi nipo nao tunacheki mechi hawakuamini kilichotokea! Sisi tunacheza mpira wa kitabuni, speed..mtu hadi unajisikia raha kucheki mpira.

Sio ule wa simba debwe debwe mpira unakosa radha ya kuuangalia wanacheza mpira kama hawataki bhana.mpira slow..
Hatimaye tumefuzu
 
Back
Top Bottom