Gusa achieni halafu mkanye.Bado huujui Mpira wewe!
Mshindi Wa world cup Argentina na Ubora wao. Walikufa Kwa saud arabia Kwa Goli kadhaa na wakipoteza mechi lakini still waliweza kupambana na wakafika mwisho. Ili Hali huyo saud Arabia aliyemfunga Argentina hata robo hakutoboa.
Yanga akifungwa na Belozdad Goli 3 away. Na ilionekana kama haiwazekani Kwa Yanga kumfunga belozdad hata Goli mbili. Matokeo Yake wakafa NNE bila, na Yanga akafika Hadi Fainali.
Sembuse Ushindi wowote hata Wa Goli moja?