Yanga hatofuzu kwenda makundi, naiona draw kwa Mkapa

Hela tuliovuma makundi hata mfike final huko kwenu umamani hamuipati
Chukua hiyo hela toa ile mliomhonga Ibenge kule Sudan mtabakiwa na sh. ngapi na bado calculator zimegoma.
 
Kuna shabiki nilikua nimekaa nae karibu kamtukana kocha huku macho kayatoa, "Huyu kocha si amuingize Kibu Dennis ndio dakika zake, nikamjibu kwa upole Kibu Dennis haruhusiwi kucheza huku kwani yeye yuko Simba namuona kanyweea huku akivuta punzi ndefu😂😂😂
 
WAZUNGU:Where it is
WABONGO:Kiko wapiiiiii

wote tuseme kwa pamoja na kwa sauti:kiko wapiiiiiii
 
Weka na ahadi yako basi iwapo itafuzu ili tuamini kama kweli wewe ni mtabiri zaidi ya Mzee Yahya. Sema kama uko tayari kuvishwa shanga kiunoni iwapo tu itafuzu, ili nichukue hilo jukumu.
Hakuna mtabiri anawekaga ahadi,kiko wapi?
 
Reactions: Tui
Aliyetaka kuvisha shanga kavishwa yeye shanga na gagulo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…