Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu samahani, hivi nikitaka kumuua mtu bila maumivu nahitaji kukuandalia kiasi gani bwana Mganga?
Unateseka ukiwa wapi kiongoziNiwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Leta matokeoNiwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Tumegwa hela🤣🤣🤣🤣🤣🤣mtakaobeti mchezo huu wekeni draw mtapiga hela.....
😂😂😂 Naona ishakua hivo sasa kila unacho comment huwa kinaenda tofautiIwe hivyo tufurahi
Haya yataenda kuipata team yako sisi tumekusamehe bure.Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!
Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.
Poleni sana.
Inshallah wamepata wanachostahiliAlly Kamwe jana alipoulizwa kuhusu kauli yeyote ya kuwa wish Simba kwenye mechi yake
Alisema wapate kile wanacho stahili, na mi nairudisha kauli hiyo kwenye mechi yenu