Yanga hatoshinda leo

Yanga hatoshinda leo

Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!

Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.

Poleni sana.
Unateseka ukiwa wapi kiongozi
 
Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!

Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.

Poleni sana.
Leta matokeo
 
Soma hiyooo.
IMG_20230308_205254.jpg
 
Niwaambie tu ukweli Mashabiki wote wa Utopolo, ukiachana na mambo yetu ya utani wa jadi ila ukweli ni kwamba leo hamtoboi!

Kwa mazingira yoyote yale sioni Utopolo wakipata matokeo ya ushindi.

Poleni sana.
Haya yataenda kuipata team yako sisi tumekusamehe bure.
 
Ally Kamwe jana alipoulizwa kuhusu kauli yeyote ya kuwa wish Simba kwenye mechi yake

Alisema wapate kile wanacho stahili, na mi nairudisha kauli hiyo kwenye mechi yenu
Inshallah wamepata wanachostahili
 
Back
Top Bottom