sometimes uwe unajishikiliaWeee kuna vyura huko instagram wanatoa shomboo kuanzia TFF mpk kwa washika kibendera...
Ndo maana mashabiki wa Simba huwa hatukondi kwa sbb tunatoaga yetu ya moyoni ila nyie mnaojilazimisha ustaarabu eti hamlalamiki endeleeni kukondeana..
By the way malalamike nini? Goli la viwango vya juu..
Kadi ya uhalali sio kama yule kichaa kayoko...
Hapo mkilalamika mtakua hamna akili...ππππ
Ikiwa umefungwa kihalali kabisa utakuwa unalalamikia nini hapo? Kwani kwa kawaida malalamiko huwa kwa ajili ya maamuzi ya kuonewa na mwamuzi.Sisi Yanga tumefungwa, lakini tumeridhika
Makando kando yalikuwepo
Tumepewa red card β¦οΈ dakika ya 26
Maamzi ya mwamzi yalitukesesha ushindi
Ila tumechukulia kama sehemu ya mchezo na kukubali matokeo na kujipa muda wa kujiandaa Kwa michezo ijayo
Lakini wenzetu Leo wangeamka na malalamiko na wazee wa timu wasiojielewa kushambulia waamzi Kwa maneno makali
Ati kuwapoteza na kuwauwa kabisa
Walitoa siku 7sijui hazijaisha
Hii ndo maana ya timu kubwa hakuna kulalamika
Kupotezwa ni sehemu ya mchezo
Upuuzi huo, hao ni wendawazimu tu. Matokeo gani yamepangwa pale? Tumefungwa golli halali kabisa, hao wanaosema tumehujumiwa wasipojirekebisha itabidi wawekwe mbali na timu, hawana afya kwa timu wala mchezo wa soka.Hamlalamiki wakati kina mwalimu wanadai waziri naibu waziri na katibu mkuu ni Simba na wamepanga matokeo ya Azam..Au wewe unawakilisha yanga wote! Ujinga ni kuwasemea hata usiowafahamu..sema wewe hulalamiki
Wanaolalamika wote ni wapuuzi. Binafsi sijasikia mtu akilalamikaUsiseme hamlalamiki sema silalamiki,wenzio huko wanalalamika mbaya mbovu
Hawajui mpiraWanaolalamika wote ni wapuuzi. Binafsi sijasikia mtu akilalamika
Mtalalamikia nini wakati mnapata both fair and unfair privileges kupitia waamuzi baada ya bahasha kutoka upande ule.Sisi Yanga tumefungwa, lakini tumeridhika
Makando kando yalikuwepo
Tumepewa red card β¦οΈ dakika ya 26
Maamzi ya mwamzi yalitukesesha ushindi
Ila tumechukulia kama sehemu ya mchezo na kukubali matokeo na kujipa muda wa kujiandaa Kwa michezo ijayo
Lakini wenzetu Leo wangeamka na malalamiko na wazee wa timu wasiojielewa kushambulia waamzi Kwa maneno makali
Ati kuwapoteza na kuwauwa kabisa
Walitoa siku 7sijui hazijaisha
Hii ndo maana ya timu kubwa hakuna kulalamika
Kupotezwa ni sehemu ya mchezo
Sasa,hayo uliyoyaandika siyo malalamiko?Chura bin utopolo kabisa!Sisi Yanga tumefungwa, lakini tumeridhika
Makando kando yalikuwepo
Tumepewa red card β¦οΈ dakika ya 26
Maamzi ya mwamzi yalitukesesha ushindi
Ila tumechukulia kama sehemu ya mchezo na kukubali matokeo na kujipa muda wa kujiandaa Kwa michezo ijayo
Lakini wenzetu Leo wangeamka na malalamiko na wazee wa timu wasiojielewa kushambulia waamzi Kwa maneno makali
Ati kuwapoteza na kuwauwa kabisa
Walitoa siku 7sijui hazijaisha
Hii ndo maana ya timu kubwa hakuna kulalamika
Kupotezwa ni sehemu ya mchezo
Hebu niache na wewe bwana...sometimes uwe unajishikilia
sikuachi kama nanyi ambavyo hamtaki kutuacha nyinyi ni ma my wetu tu....π€£Hebu niache na wewe bwana...
Pambeneni na vi dume vyenu vya afu 2000....vi lambalamba huku kwetu mtatolewa nishai...sikuachi kama nanyi ambavyo hamtaki kutuacha nyinyi ni ma my wetu tu....π€£
kidume ni sie tulie wa tufua kizazi mara 4 mfululizo!Pambeneni na vi dume vyenu vya afu 2000....vi lambalamba huku kwetu mtatolewa nishai...
Kumbe na huwa mnakula vya jinsia moja? Basi endeleeni kulana..maana na simba wameshawala sanaπππ€π€π€au siku hizi na nyie mna vizazi...π€kidume ni sie tulie wa tufua kizazi mara 4 mfululizo!
utajijuKumbe na huwa mnakula vya jinsia moja? Basi endeleeni kulana..maana na simba wameshawala sanaπππ€π€π€au siku hizi na nyie mna vizazi...π€
kikundi cha wacheza ngoma kile!Hama timu
Kwani Simba ni kabila au ukoo