Yanga hatulalamiki, wala hatutumi wazee waitishe press

Yanga hatulalamiki, wala hatutumi wazee waitishe press

Weee kuna vyura huko instagram wanatoa shomboo kuanzia TFF mpk kwa washika kibendera...
Ndo maana mashabiki wa Simba huwa hatukondi kwa sbb tunatoaga yetu ya moyoni ila nyie mnaojilazimisha ustaarabu eti hamlalamiki endeleeni kukondeana..
By the way malalamike nini? Goli la viwango vya juu..
Kadi ya uhalali sio kama yule kichaa kayoko...
Hapo mkilalamika mtakua hamna akili...😀😀😀😀
sometimes uwe unajishikilia
 
Sisi Yanga tumefungwa, lakini tumeridhika
Makando kando yalikuwepo
Tumepewa red card ♦️ dakika ya 26
Maamzi ya mwamzi yalitukesesha ushindi
Ila tumechukulia kama sehemu ya mchezo na kukubali matokeo na kujipa muda wa kujiandaa Kwa michezo ijayo

Lakini wenzetu Leo wangeamka na malalamiko na wazee wa timu wasiojielewa kushambulia waamzi Kwa maneno makali
Ati kuwapoteza na kuwauwa kabisa
Walitoa siku 7sijui hazijaisha

Hii ndo maana ya timu kubwa hakuna kulalamika
Kupotezwa ni sehemu ya mchezo
Ikiwa umefungwa kihalali kabisa utakuwa unalalamikia nini hapo? Kwani kwa kawaida malalamiko huwa kwa ajili ya maamuzi ya kuonewa na mwamuzi.

Ova
 
Hamlalamiki wakati kina mwalimu wanadai waziri naibu waziri na katibu mkuu ni Simba na wamepanga matokeo ya Azam..Au wewe unawakilisha yanga wote! Ujinga ni kuwasemea hata usiowafahamu..sema wewe hulalamiki
Upuuzi huo, hao ni wendawazimu tu. Matokeo gani yamepangwa pale? Tumefungwa golli halali kabisa, hao wanaosema tumehujumiwa wasipojirekebisha itabidi wawekwe mbali na timu, hawana afya kwa timu wala mchezo wa soka.
Unakuuuta mtu anaibuka kuanza kulalamikia tukio ambalo yeye mwenyewe kugundua kwa ni rafu imebidi hadi marejeo ya video tena zaidi ya mara moja kutoka angle tofauti.
Makosa ni sehemu ya mchezo wa mpira na pia hunogesha mpira.
Kwa kufungwa kwetu Yanga sioni hujuma wala makosa ya Mwamuzi, kama ni makosa basi yanakuwa kwa timu, kwanini haikushinda wakati ilikuwa na nafasi ya kufanya hivyo.
Washukuru kupitia kufungwa na Azam Yanga ndiyo inaenda kuamka
 
Sisi Yanga tumefungwa, lakini tumeridhika
Makando kando yalikuwepo
Tumepewa red card ♦️ dakika ya 26
Maamzi ya mwamzi yalitukesesha ushindi
Ila tumechukulia kama sehemu ya mchezo na kukubali matokeo na kujipa muda wa kujiandaa Kwa michezo ijayo

Lakini wenzetu Leo wangeamka na malalamiko na wazee wa timu wasiojielewa kushambulia waamzi Kwa maneno makali
Ati kuwapoteza na kuwauwa kabisa
Walitoa siku 7sijui hazijaisha

Hii ndo maana ya timu kubwa hakuna kulalamika
Kupotezwa ni sehemu ya mchezo
Mtalalamikia nini wakati mnapata both fair and unfair privileges kupitia waamuzi baada ya bahasha kutoka upande ule.

Ni mjinga pekee atakayelalamikia maamuzi ya refa kuiminya Yanga wakati kwenye ligi hii hakuna timu inayonufaika na makosa ya kibinadamu kuizidi Yanga.
 
Sisi Yanga tumefungwa, lakini tumeridhika
Makando kando yalikuwepo
Tumepewa red card ♦️ dakika ya 26
Maamzi ya mwamzi yalitukesesha ushindi
Ila tumechukulia kama sehemu ya mchezo na kukubali matokeo na kujipa muda wa kujiandaa Kwa michezo ijayo

Lakini wenzetu Leo wangeamka na malalamiko na wazee wa timu wasiojielewa kushambulia waamzi Kwa maneno makali
Ati kuwapoteza na kuwauwa kabisa
Walitoa siku 7sijui hazijaisha

Hii ndo maana ya timu kubwa hakuna kulalamika
Kupotezwa ni sehemu ya mchezo
Sasa,hayo uliyoyaandika siyo malalamiko?Chura bin utopolo kabisa!
 
sikuachi kama nanyi ambavyo hamtaki kutuacha nyinyi ni ma my wetu tu....🤣
Pambeneni na vi dume vyenu vya afu 2000....vi lambalamba huku kwetu mtatolewa nishai...
 
kidume ni sie tulie wa tufua kizazi mara 4 mfululizo!
Kumbe na huwa mnakula vya jinsia moja? Basi endeleeni kulana..maana na simba wameshawala sana😊😊🤗🤗🤗au siku hizi na nyie mna vizazi...🤐
 
Kumbe na huwa mnakula vya jinsia moja? Basi endeleeni kulana..maana na simba wameshawala sana😊😊🤗🤗🤗au siku hizi na nyie mna vizazi...🤐
Hama timu
Kwani Simba ni kabila au ukoo
 
Back
Top Bottom