KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
sometimes uwe unajishikiliaWeee kuna vyura huko instagram wanatoa shomboo kuanzia TFF mpk kwa washika kibendera...
Ndo maana mashabiki wa Simba huwa hatukondi kwa sbb tunatoaga yetu ya moyoni ila nyie mnaojilazimisha ustaarabu eti hamlalamiki endeleeni kukondeana..
By the way malalamike nini? Goli la viwango vya juu..
Kadi ya uhalali sio kama yule kichaa kayoko...
Hapo mkilalamika mtakua hamna akili...😀😀😀😀