Yanga hawakujiandaa Kimataifa

Yanga hawakujiandaa Kimataifa

Habari za weekend mashabiki wa soka wa Tanzania na east Africa kwa ujumla na
Hongera kwa wana lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya mashindano kwasababu zifuatazo:–

Wakati simba wanaenda pre season wao wakabaki kigamboni wakawahonga wachambuzi makanjanja waponde pre season.

Wakati simba wanaenda Sudan kucheza mashindano waliyoalikwa na al hilal wao wakaponda na wachambuzi makanjanja wakaponda .

Wakati simba anaenda zanzibar kutafuta fitness wao wakaponda wakaona bora kufanya mazoezi coco beach kwenye mchanga kuliko kucheza game kutafuta fitness .

Wakati simba wanasajili kwa ajili ya Caf champions league wao wanasajili kwa ajili ya kuifunga simba kweli kupanga ni kuchagua na mpira una taratibu zake ndo hzo simba walifuata .

Hao friends rangers na transit camp pamoja na mbuni hawawezi wakawasaidia chochote kwenye Caf champions league huku kila kitu ni tofauti kubalini kujifunza next time.

NB : SUBIRINI TAR 23 MUIFUNGE SIMBA MRUDI KIGAMBONI KUCHEZA NA WAVUVI NDO MLICHOBAKISHA

Kilichotufelisha tusiwe na preseason ya maana ni usajili wa Aziz Ki,,, ametugharimu pesa nyingi sana na alitaka pesa yote alipwe sio mafungu mafungu kama tunavyofanyaga kwa wachezaji wengine, ikaharibu budget yetu ya preseason kwenda Uturuki tukaishia kucheza na Vijibweni Fc pale Avic town

Kwa kifupi tuliiga kunya kwa Tembo

Na sasa deni la Luc Eymel linatakiwa lilipwe ndani ya siku 45,,, sijui itakuwaje

Tunaiomba Simba ifungue twisheni tuwalete kina Injinia Hersi wajifunze kwenu vngnevyo tutaendelea kuaibika,,, tuoneeni huruma wajameni
 
Hawana akili nasikia..unakuta mtu mzima anarudia comment moja uzi mzima wakati wao wameshindwa kumchapa Alhail bao japo mbili tuu wakati wenzao tuliwafumua 4 halafu hao ni Namungo sisi ni Simba. Yani wanaacha kujifunza na kuangalia mnyama anawazidi mbinu gani. Yani sema hizi Id zinaficha mengi sana yani ukiangalia comment na mtu hazifanani. Hahahahq
Na wanabahati machi ile ya kwanza walikutana na wahadzabe wa sudan wangekutana na team ngumu kidogo hata mechi ya jana wangeiona AZAM tv tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Kwa hio Yanga kuifunga Simba ni fresh tu sio kawaida mkuu emu jaribu kuishtua akili yako
Sasa hivi hata tukifungwa na yanga ni kawaida kuna mwana yanga alisema wanachangisha hela ya mganga hata sijui wamefikia wapi unajua ukiingia group stage Caf champions league unaondoka na bei gani sasa kwani tuhangaike na wamatopeni
 
Kilichotufelisha tusiwe na preseason ya maana ni usajili wa Aziz Ki,,, ametugharimu pesa nyingi sana na alitaka pesa yote alipwe sio mafungu mafungu kama tunavyofanyaga kwa wachezaji wengine, ikaharibu budget yetu ya preseason kwenda Uturuki tukaishia kucheza na Vijibweni Fc pale Avic town

Kwa kifupi tuliiga kunya kwa Tembo

Na sasa deni la Luc Eymel linatakiwa lilipwe ndani ya siku 45,,, sijui itakuwaje

Tunaiomba Simba ifungue twisheni tuwalete kina Injinia Hersi wajifunze kwenu vngnevyo tutaendelea kuaibika,,, tuoneeni huruma wajameni
Aziz ki itakuwa anajutia sana uamuzi wake wa kuchagua kucheza yanga badala ya simba japo amekomba hela zote ila wale ni wachezaji professional Caf champions league ndo michuano yao
 
Sasa hivi hata tukifungwa na yanga ni kawaida kuna mwana yanga alisema wanachangisha hela ya mganga hata sijui wamefikia wapi unajua ukiingia group stage Caf champions league unaondoka na bei gani sasa kwani tuhangaike na wamatopeni
Sawa mkuu umeeleweka km mganga wa kwenye simulizi ya UMUGHAKA alidakwa na 😂😂😂🙌🏻
 
Yanga atacheza makundi shirikisho panapo majaaliwa
 
Aziz ki itakuwa anajutia sana uamuzi wake wa kuchagua kucheza yanga badala ya simba japo amekomba hela zote ila wale ni wachezaji professional Caf champions league ndo michuano yao
Hakika.
Alikochagua ndio kutampoteza mazima ki soka la kimataifa. Atakuwa anaonekana vidimbwini tu.
 
Utopolo pre-season walicheza na Mbuyuni combining Fc. Hiyo ndio timu waliotest mitambo Yao kwa ajili ya mashindano ya CAF. Atakayebisha aje nimekaa palee.
 
FT: Cd de Agosto 2-6 Namungo FC
FT Al Hilal 1 Simba 0

Haya basi furahi, si umebaki kujilinganisha na Namungo. Utajuta kuwafahamu kaka zake na Zalan. Si umewapiga nje na ndani kwa Mkapa.

Kinachofuata uwe makini hizo za Namungo zndio utapokea Sudan
 
Habari za wikiendi mashabiki wa soka wa Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla na hongera kwa wana Lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi. Ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya mashindano kwasababu zifuatazo:–

~ Wakati Simba wanaenda kabla ya msimu wao wakabaki Kigamboni wakawahonga wachambuzi makanjanja waponde kabla ya msimu.

~ Wakati Simba wanaenda Sudan kucheza mashindano waliyoalikwa na Al Hilal wao wakaponda na wachambuzi makanjanja wakaponda.

~ Wakati Simba anaenda Zanzibar kutafuta afya ya mwili wao wakaponda wakaona bora kufanya mazoezi Coco Beach kwenye mchanga kuliko kucheza mchezo kutafuta afya ya mwili.

~ Wakati Simba wanasajili kwa ajili ya CAF Champions League wao wanasajili kwa ajili ya kuifunga Simba, kweli kupanga ni kuchagua na mpira una taratibu zake ndiyo hizo Simba walifuata.

Hao Friends Rangers na Transit Camp pamoja na Mbuni hawawezi wakawasaidia chochote kwenye CAF Champions League. Huku kila kitu ni tofauti, kubalini kujifunza muda ujao.

NB: Subirini tar 23 muifunge Simba mrudi Kigamboni kucheza na wavuvi, ndiyo mlichobakisha!
Mbona kama vile shabiki wa simba unateseka na matokeo ya Yanga!
 
Ndo maana nasema Rage akukosea kwenye ule msemo wake, mashabiki wa simba wamebaki na akili za kuvukia barabara tu, kwa timu iyo ya de agosto uliyokutana nayo ata ingecheza na Ihefu isingepata matokeo kwa mpira ule wanaocheza, ukijaribu kucompare Al hilal waliyokutana nayo yanga ni sawa na mlima kulinganisha na kichuguu, Mfurahi kwa kushinda mechi yenu lakini msianze kujimwambafai kuwa mmekutana na kipimo cha mechi ngumu kulinganisha na yanga mtakuwa mnajidanganya pakubwa, Mmekutana na timu ambayo kwanza inaonyesha kabisa imejaza vijana wengi wasiokuwa na uzoefu wowote wa kucheza michuano mikubwa, pili ni timu ambayo squad yake ni butu kuliko maelezo, tatu ni timu inayocheza mpira wa kishule shule sana yani utoto mwingi na uzoefu umewahukumu, kipigo walichopigwa na namungo kipindi kile cha goli 6 akikuwa cha bahati mbaya kilikuwa ni halali yao kulingana na kiwango walichonacho
 
Back
Top Bottom