tyc
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 1,179
- 2,971
Habari za weekend mashabiki wa soka wa Tanzania na east Africa kwa ujumla na
Hongera kwa wana lunyasi kwa kuwakilisha taifa na kutuheshimisha kama nchi ila ndugu zetu hawakujiandaa na haya mashindano kwasababu zifuatazo:–
Wakati simba wanaenda pre season wao wakabaki kigamboni wakawahonga wachambuzi makanjanja waponde pre season.
Wakati simba wanaenda Sudan kucheza mashindano waliyoalikwa na al hilal wao wakaponda na wachambuzi makanjanja wakaponda .
Wakati simba anaenda zanzibar kutafuta fitness wao wakaponda wakaona bora kufanya mazoezi coco beach kwenye mchanga kuliko kucheza game kutafuta fitness .
Wakati simba wanasajili kwa ajili ya Caf champions league wao wanasajili kwa ajili ya kuifunga simba kweli kupanga ni kuchagua na mpira una taratibu zake ndo hzo simba walifuata .
Hao friends rangers na transit camp pamoja na mbuni hawawezi wakawasaidia chochote kwenye Caf champions league huku kila kitu ni tofauti kubalini kujifunza next time.
NB : SUBIRINI TAR 23 MUIFUNGE SIMBA MRUDI KIGAMBONI KUCHEZA NA WAVUVI NDO MLICHOBAKISHA
Kilichotufelisha tusiwe na preseason ya maana ni usajili wa Aziz Ki,,, ametugharimu pesa nyingi sana na alitaka pesa yote alipwe sio mafungu mafungu kama tunavyofanyaga kwa wachezaji wengine, ikaharibu budget yetu ya preseason kwenda Uturuki tukaishia kucheza na Vijibweni Fc pale Avic town
Kwa kifupi tuliiga kunya kwa Tembo
Na sasa deni la Luc Eymel linatakiwa lilipwe ndani ya siku 45,,, sijui itakuwaje
Tunaiomba Simba ifungue twisheni tuwalete kina Injinia Hersi wajifunze kwenu vngnevyo tutaendelea kuaibika,,, tuoneeni huruma wajameni