Yanga hawamtaki Mzee Mguto kwa sababu ya jina lake!

Yanga hawamtaki Mzee Mguto kwa sababu ya jina lake!

DELETED ACCOUNT

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2010
Posts
9,805
Reaction score
15,476
Nilikuwa naongea na mshabiki mmoja kindakindaki wa Yanga akaamua kufunguka kwa nini wanaonekana kummind sana Mzee Steven Mguto na Bodi yake ya Ligi.

Nilimsikia jamaa akisema, "kwanza jina lake tu linatukebehi, kila tukitaja MGUTO sisi tunasikia UTO UTO UTO!".

Nikamjibu kwa hilo tu wanastahili kabisa kwenda CAS aseee.
 
Mimi numbisa numby nahaidi kutoa tanki la maji la lita 3000 kufanikisha ujenzi
Hayo maji utakwenda kuyachota mto msimbazi baada ya kutoka kunywa Vibuduz supuz pale jangwani?😆😀😃

Nimekuona kwenye mkutano wa wazee na wewe unashangilia kuwa hamchezi mechi😃😀😆
 
Yatavutwa rufiji huko maji saafii kabisa ili sanamu litokee vizuri. Kumbe supu huwa mnaitamani ee karibuni sana sie huwa sio wachoyo mje tu na chapati na pilipili kunogesha supu
Hayo maji utakwenda kuyachota mto msimbazi baada ya kutoka kunywa Vibuduz supuz pale jangwani?😆😀😃

Nimekuona kwenye mkutano wa wazee na wewe unashangilia kuwa hamchezi mechi😃😀😆
 
Aina hii ndio hawa mliomaanisha magreat thinker waliomo humu?. Au wapo wanaokuja na mwana wa adamu?
 
Back
Top Bottom