Yanga hawamtaki Mzee Mguto kwa sababu ya jina lake!

Yanga hawamtaki Mzee Mguto kwa sababu ya jina lake!

Kwa wale ambao wako tayari kuchangia ujenzi wa mnara wa kumbukumbu kwa Mh. Ismael Aden Rage, tukutane hapa.
1. Mimi Tate Mkuu naahidi kutoa mifuko 20 ya saruji.
Kabla hujachangia hiyo mifuko ya saruji Ebu tupe ripoti ya Daktari wako kutoka milembe ili tujue umepona ama unaendelea vizuri,Na hao wenzako wa Yanga mje na vyeti vyenu wote la sivyo hamna haki ya kufanya hivyo kwa sababu kwa mujibu wa Manara Mpaka sasa idadi haijaongezeka.
 
Back
Top Bottom