DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Uto. Uto. UtoMG UTO. ππππ€£π€£
Huo utakuwa Mnara ama ka Mnara. Hebu ongeza idadi ya mifuko ya simenti hiyo.Kwa wale ambao wako tayari kuchangia ujenzi wa mnara wa kumbukumbu kwa Mh. Ismael Aden Rage, tukutane hapa.
1. Mimi Tate Mkuu naahidi kutoa mifuko 20 ya saruji.
Mwache mume wangu unadhani mifuko 20ni udongo ule kiasi cha kujazwaHuo utakuwa Mnara ama ka Mnara. Hebu ongeza idadi ya mifuko ya simenti hiyo.
Mwambie atuacheπππMwache mume wangu unadhani mifuko 20ni udongo ule kiasi cha kujazwa
Nabado tutawaloga mie na babe wangu kama hamtapokea hiyo mifuko na wala hatuongezi wala kupunguzaMwambie atuacheπππ
Acheni masimango basiπππNabado tutawaloga mie na babe wangu kama hamtapokea hiyo mifuko na wala hatuongezi wala kupunguza
Hayo maji utakwenda kuyachota mto msimbazi baada ya kutoka kunywa Vibuduz supuz pale jangwani?πππMimi numbisa numby nahaidi kutoa tanki la maji la lita 3000 kufanikisha ujenzi
Hayo maji utakwenda kuyachota mto msimbazi baada ya kutoka kunywa Vibuduz supuz pale jangwani?πππ
Nimekuona kwenye mkutano wa wazee na wewe unashangilia kuwa hamchezi mechiπππ
Tania uonee moto wakeAcheni masimango basiπππ
Kuanzia leo hatukupi hela zetu tulishaongea na babe wangu tunakazi na hela zetu .Mimi mwenyewe natafuta watu wa kunichangia babu.
Mbona aliniambia ashakuacha.Kuanzia leo hatukupi hela zetu tulishaongea na babe wangu tunakazi na hela zetu .
Katafute mume wakumlilia shida zako.
Pole bibi ameingilia kati
Eh ili uendelee kumpa penzi ukijidai eti ni babuu utazeeshwa tupo hapa hapaMbona aliniambia ashakuacha.