Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Unatukana mamba kabla ya kuvuka mto

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
baada ya ile mechi ya ngao ya jamii mkajipa moyo clabu bingwa mtatesa ilikuwaje hapo uto wasahaulifu sana
[emoji116][emoji116][emoji116]

View attachment 2206645
Twende kwa fact:

1) kuna wachezaji hawakucheza Mayele, Djuma na Aucho
2) kikosi hakikupata muda wa kutosha kuandaliwa kwaajili ya klabu bingwa kwenye pre season na wakacheza mechi moja tu ya kirafiki.

Lakini Simbo ambao walitumia zaidi ya mwezi kwenye maandalizi ya klabu bingwa kwa kuweka kambi Morocco na Arusha huku wakicheza michezo kibao ya kimataifa ya kirafiki lakini wametolewa na Galaxy na kutupwa nje kwenye klabu bingwa
 
Mie nimetumia mechi ya leo kama kipimo... Hiyo ya Galaxy umetoa wapi? Na je Simba walitolewa kwa kupigwa nje ndani kwa aibu? Hao uliowataja wote leo wamecheza. Je unaona wakienda kufanya la maana Klabu bingwa?
 
Uyo Mayele unaembeza ndo top scorer wa ligi mpaka sasa. Chagua wachezaji wa timu yenu wawili wakali na top scorers katika timu yenu kisha jumlisha magoli yao, hakuna atakayemfikia Mayele kamwee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] mayele ni nkane wa kikongo.
Uwiiiiiih.
 
Kwa maneno mengine unamaanisha Simba iliyocheza leo ni Mbovu? Kama ni Mbovu basi yanga kwenye clabu bingwa watakuwa na hali mbaya sana. Wajo nyumbani wamesuluhu na timu mbovu.
 
Yanga ipi ya kufika ¼ final? Ni CAF au FA? hebu fafanua kwan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yanga ipi ya kufika ¼ final? Ni CAF au FA? hebu fafanua kwan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanadhani CAFCL ni kama mapinduzi watakutana na KMKM
 
majibu ni msimu huu walitolewa kwa goli mbili bila home & away round ya kwanza.
 
Mbna km unateseka hivi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu kunywa maji mengi na u relaaaax, vipi Deni limelipwa au bado mkopo unaendelea?

Tulizana kwani, uwiiiiiiiiih
 
Wanadhani CAFCL ni kama mapinduzi watakutana na KMKM
FA enyewe refa kawabeba kweupe mbele ya Geita Gold, afu ndo CAFCL wafike ¼ final? makundi wanaweza kuvuka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
FA enyewe refa kawabeba kweupe mbele ya Geita Gold, afu ndo CAFCL wafike ¼ final? makundi wanaweza kuvuka? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wakienda na Kayoko na Sassi bado watapigwa tu
 
Mara ya mwishi yanga kuishia robo fainali ni mwaka gani?
 
Kwa maneno mengine unamaanisha Simba iliyocheza leo ni Mbovu? Kama ni Mbovu basi yanga kwenye clabu bingwa watakuwa na hali mbaya sana. Wajo nyumbani wamesuluhu na timu mbovu.
Kwani nyie msimu uliopita si mlisema sisi wabovu.

Tulivyo sajili mkatuambia mnakazi ya kujenga timu.

Nao leo vipi,mlijua tutafika hapa na ndio maana msimu huu wakati tukiongoza ligi round ya kwanza, masema "Yanga hata msimu uliopita aliongoza round ya kwanza, Simba akachukua ",je hizi kauli mnazani mlikuwa mnaziongea kwa sababu gani? Sababu ni moja akili zenu mlizani yanga ni mbovu, hiki kinachotokea msimu huu hamkujua kama kitatokea.

So hayo ya msimu ujayo tuyaache kwani mnaweza kubadilisha kauli kama mlivyo badilisha msimu huu.

Kwangu naiamini Yanga hata hiyo michuano ya CAF msimu huu, nimecheza bila wachezaji wangu watatu Bangala, Mayele,Aucho plus Moloko.
 
Mzee umeandika maelezo mareeeeefu lakini hujajibu kama simba ni mbovu ndio tuendelee na mjadala. Acha porojo
 
Mzee umeandika maelezo mareeeeefu lakini hujajibu kama simba ni mbovu ndio tuendelee na mjadala. Acha porojo
Kweli mmedrop msimu huu au wewe unaiona timu yako ipo sawa..........? Manake mtu chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…