joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Kwani kudrop manake nini au tuseme kashuka.......?Jibu swali... Simba ni mbovu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kudrop manake nini au tuseme kashuka.......?Jibu swali... Simba ni mbovu?
Elewa swali langu mkuuUnaweza kuwa wa kwanza kufika robo fainali na kombe husichukue akachukua mwengine au akaishia stage ya juu zaidi yako. Arsenal kwenye UEFA alifika mpaka fainali kabla ya Chelsea, kaja Chelsea kachukua UEFA mbili,endelea kukalili.
Uwe unasoma anayejibiwa ni nani na aliandika kipi mpaka akajibiwa hivyo usiwe brother K wakukurupukaMie nimetumia mechi ya leo kama kipimo... Hiyo ya Galaxy umetoa wapi? Na je Simba walitolewa kwa kupigwa nje ndani kwa aibu? Hao uliowataja wote leo wamecheza. Je unaona wakienda kufanya la maana Klabu bingwa?
Kwa hiyo tatizo lako kipa hajadaka mpira? Hivi nyinyi mkitengeneza attemp ngapi za hatari katika mechi ya leo, ukiondoa kichwa zaifu cha Mugalu.Sasa imekuwaje mkashindwa kuifunga timu mbovu... Au basi kupiga mpira hata kipa adake basi?
1998.Mara ya mwishi yanga kuishia robo fainali ni mwaka gani?
Kwenye 0 attempts hizo clear chance 2 ni zipi?Kwa hiyo tatizo lako kipa hajadaka mpira? Hivi nyinyi mkitengeneza attemp ngapi za hatari katika mechi ya leo, ukiondoa kichwa zaifu cha Mugalu.
Yanga tulipata clear Chance mbili ya Nkane na Mayele, haya nitajie attemp za maana ulizofanya ww kwenye mechi ya leo?
Hivi unajua maana ya attemps kweli ww au unasomaga lile jedwali la takwimu..... au ulitegemea kwenye lile jedwali wa kuandikie clear chance kadhaa then attempts kadhaa ,ila mpaka sasa nishajua nabishana na mtu aina gani.Kwenye 0 attempts hizo clear chance 2 ni zipi?
Kama hiyo clear chance haikwenda golini haikuwa attempt na hivyo huwezi kusema ikikuwa hatari kwa mpinzani. Ninachojua ni kuwa Manula leo hajaokoa hatari yoyote. Alikuwa anacheza pasi kama Kanoute na Chama.Hivi unajua maana ya attemps kweli ww au unasomaga lile jedwali la takwimu..... au ulitegemea kwenye lile jedwali wa kuandikie clear chance kadhaa then attempts kadhaa ,ila mpaka sasa nishajua nabishana na mtu aina gani.
Kweli kaazi ipo..........Kama hiyo clear chance haikwenda golini haikuwa attempt na hivyo huwezi kusema ikikuwa hatari kwa mpinzani. Ninachojua ni kuwa Manula leo hajaokoa hatari yoyote. Alikuwa anacheza pasi kama Kanoute na Chama.
Hilo hawataki kusikiaKwa mtiririko wako wa hoja iko hivi, Yanga hawezi kufurukuta Club bingwa kwa sababu kashindwa kumfunga Simba. Simba ambaye naye kashindwa kumfunga Yanga alifika robo fainali.
Kwa mantiki hiyo, Simba na Yanga viwango vyao kwa sasa ni vya kuishia robo fainali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata wakienda na Kayoko na Sassi bado watapigwa tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeehNa mugalu ni bocco wa kikongo pia
Huyo hajui mpira unapoteza muda wako tu ni shabiki wa timu asiyejua mpira. Kuna thread nilikuwa namjibu mtu kuwa mechi ya leo Simba walikuwa ni underdog kwa yanga. Akaja kuni quote ananiambia underdog gani wakati leo ameshambulia zaidi kuliko mpinzani wake. Nikabaki kumcheka tu kwasababu ni shida ya watoto wasiojua mpira, wao wanajua usimba na uYanga tu. Hajui timu inaweza kuingia kama underdog lakini akafanya vizuri. Simba vs Al Ahly, Simba alikuwa ni timu underdog lakini walishinda. Yanga vs Simba mechi ambayo yanga walishinda kwenye ngao ya jamii yanga ndio walikuwa ni underdog ila kashinda. Mechi iliyofuatia tena ya sare pia Yanga alikuwa ni underdog. Mechi ya leo Simba ndio alikuwa ni underdog na makampuni ya kubet yote waliipa asilimia kubwa Yanga kushinda kuliko SimbaHivi unajua maana ya attemps kweli ww au unasomaga lile jedwali la takwimu..... au ulitegemea kwenye lile jedwali wa kuandikie clear chance kadhaa then attempts kadhaa ,ila mpaka sasa nishajua nabishana na mtu aina gani.
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] unaota wee au?1998.
Basi utopolo wakisoma hapa, wataanza kulia km watoto wa kambo lol.Sasa yanga kimataifa akafanye nini huko?
Hiyo unayiizungumzia wewe haipo hata kwenye ratiba yao
Ratiba yao wakishachukua kombe ni kunipanga na msimu ujao kuhakikisha wanatetea taji lao
Hawana miguu ya kucheza mpira wa hadhi ile
Umetumia kigezo gani kusema timu moja ni underdog bwana mjuaji?Huyo hajui mpira unapoteza muda wako tu ni shabiki wa timu asiyejua mpira. Kuna thread nilikuwa namjibu mtu kuwa mechi ya leo Simba walikuwa ni underdog kwa yanga. Akaja kuni quote ananiambia underdog gani wakati leo ameshambulia zaidi kuliko mpinzani wake. Nikabaki kumcheka tu kwasababu ni shida ya watoto wasiojua mpira, wao wanajua usimba na uYanga tu. Hajui timu inaweza kuingia kama underdog lakini akafanya vizuri. Simba vs Al Ahly, Simba alikuwa ni timu underdog lakini walishinda. Yanga vs Simba mechi ambayo yanga walishinda kwenye ngao ya jamii yanga ndio walikuwa ni underdog ila kashinda. Mechi iliyofuatia tena ya sare pia Yanga alikuwa ni underdog. Mechi ya leo Simba ndio alikuwa ni underdog na makampuni ya kubet yote waliipa asilimia kubwa Yanga kushinda kuliko Simba