Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Unaweza kuwa wa kwanza kufika robo fainali na kombe husichukue akachukua mwengine au akaishia stage ya juu zaidi yako. Arsenal kwenye UEFA alifika mpaka fainali kabla ya Chelsea, kaja Chelsea kachukua UEFA mbili,endelea kukalili.
Elewa swali langu mkuu
 
Ukimkaba mayele tu mechi zote wanatoa sare yule aucho angekuwa anafunga kama chama angewasaidia ngoja wakapigwe hamsa huko akili ziwakae sawa.
 
Mie nimetumia mechi ya leo kama kipimo... Hiyo ya Galaxy umetoa wapi? Na je Simba walitolewa kwa kupigwa nje ndani kwa aibu? Hao uliowataja wote leo wamecheza. Je unaona wakienda kufanya la maana Klabu bingwa?
Uwe unasoma anayejibiwa ni nani na aliandika kipi mpaka akajibiwa hivyo usiwe brother K wakukurupuka
 
Sasa imekuwaje mkashindwa kuifunga timu mbovu... Au basi kupiga mpira hata kipa adake basi?
Kwa hiyo tatizo lako kipa hajadaka mpira? Hivi nyinyi mkitengeneza attemp ngapi za hatari katika mechi ya leo, ukiondoa kichwa zaifu cha Mugalu.

Yanga tulipata clear Chance mbili ya Nkane na Mayele, haya nitajie attemp za maana ulizofanya ww kwenye mechi ya leo?
 
Kwenye 0 attempts hizo clear chance 2 ni zipi?
 
Hivi unajua maana ya attemps kweli ww au unasomaga lile jedwali la takwimu..... au ulitegemea kwenye lile jedwali wa kuandikie clear chance kadhaa then attempts kadhaa ,ila mpaka sasa nishajua nabishana na mtu aina gani.
Kama hiyo clear chance haikwenda golini haikuwa attempt na hivyo huwezi kusema ikikuwa hatari kwa mpinzani. Ninachojua ni kuwa Manula leo hajaokoa hatari yoyote. Alikuwa anacheza pasi kama Kanoute na Chama.
 
Sasa yanga kimataifa akafanye nini huko?

Hiyo unayiizungumzia wewe haipo hata kwenye ratiba yao

Ratiba yao wakishachukua kombe ni kunipanga na msimu ujao kuhakikisha wanatetea taji lao

Hawana miguu ya kucheza mpira wa hadhi ile
 
Kweli kaazi ipo..........
 
Kwa mtiririko wako wa hoja iko hivi, Yanga hawezi kufurukuta Club bingwa kwa sababu kashindwa kumfunga Simba. Simba ambaye naye kashindwa kumfunga Yanga alifika robo fainali.
Kwa mantiki hiyo, Simba na Yanga viwango vyao kwa sasa ni vya kuishia robo fainali.
Hilo hawataki kusikia
 
Hivi unajua maana ya attemps kweli ww au unasomaga lile jedwali la takwimu..... au ulitegemea kwenye lile jedwali wa kuandikie clear chance kadhaa then attempts kadhaa ,ila mpaka sasa nishajua nabishana na mtu aina gani.
Huyo hajui mpira unapoteza muda wako tu ni shabiki wa timu asiyejua mpira. Kuna thread nilikuwa namjibu mtu kuwa mechi ya leo Simba walikuwa ni underdog kwa yanga. Akaja kuni quote ananiambia underdog gani wakati leo ameshambulia zaidi kuliko mpinzani wake. Nikabaki kumcheka tu kwasababu ni shida ya watoto wasiojua mpira, wao wanajua usimba na uYanga tu. Hajui timu inaweza kuingia kama underdog lakini akafanya vizuri. Simba vs Al Ahly, Simba alikuwa ni timu underdog lakini walishinda. Yanga vs Simba mechi ambayo yanga walishinda kwenye ngao ya jamii yanga ndio walikuwa ni underdog ila kashinda. Mechi iliyofuatia tena ya sare pia Yanga alikuwa ni underdog. Mechi ya leo Simba ndio alikuwa ni underdog na makampuni ya kubet yote waliipa asilimia kubwa Yanga kushinda kuliko Simba
 
Sasa yanga kimataifa akafanye nini huko?

Hiyo unayiizungumzia wewe haipo hata kwenye ratiba yao

Ratiba yao wakishachukua kombe ni kunipanga na msimu ujao kuhakikisha wanatetea taji lao

Hawana miguu ya kucheza mpira wa hadhi ile
Basi utopolo wakisoma hapa, wataanza kulia km watoto wa kambo lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo hajui mpira unapoteza muda wako tu ni shabiki wa timu asiyejua mpira. Kuna thread nilikuwa namjibu mtu kuwa mechi ya leo Simba walikuwa ni underdog kwa yanga. Akaja kuni quote ananiambia underdog gani wakati leo ameshambulia zaidi kuliko mpinzani wake. Nikabaki kumcheka tu kwasababu ni shida ya watoto wasiojua mpira, wao wanajua usimba na uYanga tu. Hajui timu inaweza kuingia kama underdog lakini akafanya vizuri. Simba vs Al Ahly, Simba alikuwa ni timu underdog lakini walishinda. Yanga vs Simba mechi ambayo yanga walishinda kwenye ngao ya jamii yanga ndio walikuwa ni underdog ila kashinda. Mechi iliyofuatia tena ya sare pia Yanga alikuwa ni underdog. Mechi ya leo Simba ndio alikuwa ni underdog na makampuni ya kubet yote waliipa asilimia kubwa Yanga kushinda kuliko Simba
Umetumia kigezo gani kusema timu moja ni underdog bwana mjuaji?
 
Back
Top Bottom