Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Unatukana mamba kabla ya kuvuka mtoBaada ya kuangalia mchezo wa leo baina ya Simba na Yanga, ni dhahiri yanga hawana timu ya kufanya maajabu ligi ya mabingwa msimu ujao.
Timu imejengwa kumzunguka mtu mmoja tu kiasi kwamba akishadhibitiwa basi tu inatepeta.
Simba ndio kipimo cha watakachokutana nacho ligi ya mabingwa. Kama Yanga wako serious wanatakiwa kusajili hasa wachezaji wenye uwezo wa kuamua michezo migumu. Sio hawa kina sure boy..
View attachment 2206582
Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app