Akadondokea kwenye kombe la shirikisho, kama raundi moja tu chaali bila shaka angeaanza preliminary round angeishia hapo hapo. Galaxy pamoja na kuwa wa mwisho kwenye kundi lake ela aliyoingiza Simba haiwezi kuifikia hata wangecheza nusu fainali. Galaxy wameingiza usd 550,000