Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Yanga hawatafurukuta CAFCL.

Akadondokea kwenye kombe la shirikisho, kama raundi moja tu chaali bila shaka angeaanza preliminary round angeishia hapo hapo. Galaxy pamoja na kuwa wa mwisho kwenye kundi lake ela aliyoingiza Simba haiwezi kuifikia hata wangecheza nusu fainali. Galaxy wameingiza usd 550,000
kwani we timu gani? Utopolo au galaxy au Rivers United nijue kwanza kabla ya kubishana na wewe
 
Back
Top Bottom