njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata wachambuzi wanawasifia sana kwa kweli,hongera mwalimu Cedric kaze kama nyie mgekutana na waarabu wa misri tarehe 23 wangejua kweli mnaongoza league,halafu bodi ya ligi bado mnachukua rushwa za MO naona kalinyo kapewa kadi nyekundu inauma sana,wananchi tunaonewa sana
NAWAKUMBUSHA KWAMBA KWA SAIDOO,YAKOUBA,SARPONG,TUSILA,NCHIMBI,KASEKE,FARID,WAZIRI JUNIOR NA FISTON HAKUNA FOWARD LINE KALI KAMA HIYO AFRIKA WAARABU WANGEKULA 5
NAWAKUMBUSHA KWAMBA KWA SAIDOO,YAKOUBA,SARPONG,TUSILA,NCHIMBI,KASEKE,FARID,WAZIRI JUNIOR NA FISTON HAKUNA FOWARD LINE KALI KAMA HIYO AFRIKA WAARABU WANGEKULA 5