Yanga hii al ahly au vita wangekufa 5

Yanga hii al ahly au vita wangekufa 5

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Nimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata wachambuzi wanawasifia sana kwa kweli,hongera mwalimu Cedric kaze kama nyie mgekutana na waarabu wa misri tarehe 23 wangejua kweli mnaongoza league,halafu bodi ya ligi bado mnachukua rushwa za MO naona kalinyo kapewa kadi nyekundu inauma sana,wananchi tunaonewa sana
NAWAKUMBUSHA KWAMBA KWA SAIDOO,YAKOUBA,SARPONG,TUSILA,NCHIMBI,KASEKE,FARID,WAZIRI JUNIOR NA FISTON HAKUNA FOWARD LINE KALI KAMA HIYO AFRIKA WAARABU WANGEKULA 5
 
huyo yakobo, kisado na hilo sponji wana taarifa kwamba hustling walizokua wakijitutumua kupata matokeo uwanjani leo walikua wanacheza na kikosi chetu cha skonga kilichocheza umiseta kule chunya?
tff na bodi ya ligi na marefa wanaonea sana la sivyo wananchi ni team bora afrika
 
Nimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata wachambuzi wanawasifia sana kwa kweli,hongera mwalimu Cedric kaze kama nyie mgekutana na waarabu wa misri tarehe 23 wangejua kweli mnaongoza league,halafu bodi ya ligi bado mnachukua rushwa za MO naona kalinyo kapewa kadi nyekundu inauma sana,wananchi tunaonewa sana
NAWAKUMBUSHA KWAMBA KWA SAIDOO,YAKOUBA,SARPONG,TUSILA,NCHIMBI,KASEKE,FARID,WAZIRI JUNIOR NA FISTON HAKUNA FOWARD LINE KALI KAMA HIYO AFRIKA WAARABU WANGEKULA 5
Ukipenda kuendekeza sana majungu, mwisho utaishia kuwa mchawi.
 
Kinacho niuma ni kwamba hadi washabiki wa yanga wanajua kuawao ni utopolo
Tulia wewe mbumbumbu fc. Bado kuna mechi ya marudiano. Ilikuwa tuwagonge mapema mwezi March!

Bahati yenu ile mbeleko yenu (TFF) imesogezea mbele mpaka May, kama ilivyo wabeba pia kwenye ule mzunguko wa kwanza kwa kuahirisha ile mechi pasipo na sababu za msingi.
 
Hivi huyu jamaa anapatikana wapi atupe mke wake tumuwekee mwiko?

1614517116334.png
 
Tulia wewe mbumbumbu fc. Bado kuna mechi ya marudiano. Ilikuwa tuwagonge mapema mwezi March!

Bahati yenu ile mbeleko yenu (TFF) imesogezea mbele mpaka May, kama ilivyo wabeba pia kwenye ule mzunguko wa kwanza kwa kuahirisha ile mechi pasipo na sababu za msingi.
Nyie utopolo kitulizeni kishundu mwana ume wenu bado anamajukumu ya kimataifa mda utafika kishundu kitapapaswa
 
Manguruwe a.k.a Utelembwe wapo busy wakijifariji. Tajiri wenu kaomba radhi kutoka bila hijab
 
Tulia wewe mbumbumbu fc. Bado kuna mechi ya marudiano. Ilikuwa tuwagonge mapema mwezi March!

Bahati yenu ile mbeleko yenu (TFF) imesogezea mbele mpaka May, kama ilivyo wabeba pia kwenye ule mzunguko wa kwanza kwa kuahirisha ile mechi pasipo na sababu za msingi.
Unatumia kilevi gani mghoshi?
 
Back
Top Bottom