njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
tff na bodi ya ligi na marefa wanaonea sana la sivyo wananchi ni team bora afrikahuyo yakobo, kisado na hilo sponji wana taarifa kwamba hustling walizokua wakijitutumua kupata matokeo uwanjani leo walikua wanacheza na kikosi chetu cha skonga kilichocheza umiseta kule chunya?
Ukipenda kuendekeza sana majungu, mwisho utaishia kuwa mchawi.Nimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata wachambuzi wanawasifia sana kwa kweli,hongera mwalimu Cedric kaze kama nyie mgekutana na waarabu wa misri tarehe 23 wangejua kweli mnaongoza league,halafu bodi ya ligi bado mnachukua rushwa za MO naona kalinyo kapewa kadi nyekundu inauma sana,wananchi tunaonewa sana
NAWAKUMBUSHA KWAMBA KWA SAIDOO,YAKOUBA,SARPONG,TUSILA,NCHIMBI,KASEKE,FARID,WAZIRI JUNIOR NA FISTON HAKUNA FOWARD LINE KALI KAMA HIYO AFRIKA WAARABU WANGEKULA 5
Tulia wewe mbumbumbu fc. Bado kuna mechi ya marudiano. Ilikuwa tuwagonge mapema mwezi March!Kinacho niuma ni kwamba hadi washabiki wa yanga wanajua kuawao ni utopolo
Nyie utopolo kitulizeni kishundu mwana ume wenu bado anamajukumu ya kimataifa mda utafika kishundu kitapapaswaTulia wewe mbumbumbu fc. Bado kuna mechi ya marudiano. Ilikuwa tuwagonge mapema mwezi March!
Bahati yenu ile mbeleko yenu (TFF) imesogezea mbele mpaka May, kama ilivyo wabeba pia kwenye ule mzunguko wa kwanza kwa kuahirisha ile mechi pasipo na sababu za msingi.
Hawawezi kuhangaika na manguruweKinacho niuma ni kwamba hadi washabiki wa yanga wanajua kuawao ni utopolo
kabisa kabisaNimeangalia yanga vcs ken gold leo,dah jamaa wapo poa sana nasikiza clouds hapa hata
wote uto tuKati ya sarpong na nchimbi nani sarpong
Unatumia kilevi gani mghoshi?Tulia wewe mbumbumbu fc. Bado kuna mechi ya marudiano. Ilikuwa tuwagonge mapema mwezi March!
Bahati yenu ile mbeleko yenu (TFF) imesogezea mbele mpaka May, kama ilivyo wabeba pia kwenye ule mzunguko wa kwanza kwa kuahirisha ile mechi pasipo na sababu za msingi.
Boha, mnazi, denge, gongo, kangaa!! Mara moja moja ndiyo nakunywa bia.Unatumia kilevi gani mghoshi?
Na hii tiba na kinga ya Corona haipandi mgosi wa ndima?Boha, mnazi, denge, gongo, kangaa!! Mara moja moja ndiyo nakunywa bia.