Yanga hii bado sana kiushindani

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mchezo waliouonyesha Yanga dhidi ya Mwadui imeonyesha kwa kweli Yanga bado sana.

Naishauri Klabu ya Yanga isajili wachezaji wenye viwango kama Simba. Yanga sasa wamepangwa kukutana na Biashara united ya Mara kwenye Kombe la FA.

Kwa mchezo niliouona leo wa Yanga ni dhahiri watafungwa tu. Kiwango walichoonyesha ni kiwango cha chini mno. Tafuteni wachezaji wenye viwango vinginevyo tutakuwa tunaishia mzunguko wa kwa kwanza kwenye mechi za Kimataifa.

Waulizeni Simba mbinu wanazotumia.
 
Tulio wewe dogo.. Kwani umesikia dirisha la usajiri limefunguliwa..?
Kama hao wachezaji wabovu ndo wapo siku zote toka ligi imeanza sasa sijui umewaona Leo hii...?
Suala la kusajiri wachezaji wazuri hata si lakuwauliza Simba.. Kikubwa ni pesa tu wachezaji wote wazuri duniani hii wanafahamika.
 
Hao walionao wanashindwa kuwalipa wanawapiga kwenye ulevi na utovu kama utovu
Watawezaje kusajili wengine wazuri wakati mfuko mnovu
 
Povu
 
Upo sahihi mimi jana nilivyoona tu ile list nikajua game haitokua tamu
Nisingependa weka majina hapa ila wengi ni wa kuachwa hasa hawa wazawa
 
na yule kipa wao wa mwadui aliyekuwa yanga b jana kawapa goli la bure halafu wanajidai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…