Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

Yanga hii hata Al Ahly ingemfunga nyumbani kwake

Mkuu nakubali sana juhudi zako na naziunga mkono maana unagawa dozi murua kwa Makolo,kifupi hawa jamaa wiki yote hii hawapaswi kuwa na furaha wala kuishi kwa Amani humu kwa shombo walizo kuwa wanaongea .

Wape risiti zao piga kazi mkuu mpaka Makolo wawe Mazuzu , anko wake Shadeeya Mwasibu OKW BOBAN SUNZU mpaka sasa hatujui Yuko wapi na ataibuka lini na bado siku Mwasibu akijirogo kuja kucheki Hali ya hewa humu asiachwe bila kukutanishwa na Dozi inayoendelea humu.
Kabisa ndugu yangu nakuunga mkono moja kwa moja.
 
Back
Top Bottom