Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Wameingia nyavuni sasa bila shaka watakutana na mnyama nusu fainal. ......labda niwakumbushe tu znz hakuna marten sanyaa
 


Wacha Kulialia wewe Hakuna Aliyepanga Matokeo bali Mumetandikwa kimpira!!
Halafu Kudai eti Timu Za Kenya Zimejitoa Huo ni Uongo! Kombe la Mapinduzi Wadau ni Timu Za Tanzania tu...
Timu Zote Za Nje Ya Tanzania sio Wadau ni Washiriki Waalikwa Tu....

Sasa Mgeni Mwalikwa Hajitoi bali Huhesabiwa Kakataa Mwaliko tu...
Mdau Ndiye Anaejitoa...
 
Kulamba koni 4 kumewachokesha jamaa ile mbaya. Wengine uchovu umewazidi wengine wanaharisha. Ni masugu tu ndio wanaojaribu kujitutumua. Tena kulishwa koni 4 na timu ambayo haina kocha wa uhakika bali wa muda. Ustaarabu utarudi tu. Chezea 4 G.
 
Yanga wanafuatilia kwa nini hakuna timu hata moja kutoka Kenya ili wakate rufaa. Bado tunashauriana na mwanasheria wetu!!
 
Wameshakata rufaa.Wachezaji wa Azam kutoka Ghana hawana vibali vya kufanyia kazi Zanzibar. Pia Agyei aliyefunga goli la 4 amesajiliwa pia na Simba kama kipa. Mchezaji mmoja hawezi kuchezea timu mbili. Wanangojea ushindi wa mezani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…