Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasikia Lwandamila ameonekana Airport na akiwa na begi lenye matairi , je ni kweli ?
Nimeitazama match mwanzo mwisho. Nilikuwa sielewi sababu hasa ya wakenya kujitoa kwenye mashindano haya. Lakini kwa kitendo kilichofanywa jana, nakubaliana nao. Halafu pia mashindano ya mapinduzi cup yameshuka hadhi kabisa. Hayana umuhimu tena. Kama waganda wataendelea kushiriki mashindano haya, basi ni sababu ya njaa. Timu za Zbar zimepigana kutafuta kuingia nusu fainali halafu wengine wanapanga kuzitoa! Kweli kabisa timu zote za Zbar zinastahili kujitoa kwenye mashindano haya wawaachie timu pendwa. Aibu kubwa sana
Mfa Maji!Huna lolote umepigwa 4G unaanza kuneng'eneka, mbona uliposhinda 6 mbona hukueleza hayo?
Migomo FC bhana.!
Kama nchi jirani ya Zanzibar, aibu tupu.Yanga ni Team ya hapa ligi ya bongo na marefa wao tu hikitoka hapa bongo ni mlenda tu
Ilikuwa mbayaaAcha mbwembwe subiri second half
Kweli nilisubiri dakika 90 mambo yalikuwa si mambo.Kha! We hujui football, subiri dk 90
Enhe! Haya 90' ndiyo tayari vipi?Kha! We hujui football, subiri dk 90