Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Wamepatwa na wauza Ice cream na vitafunwa.

 
Zilikuwa salamu kwa JECHA. Kule Dimani Mbunge alofariki (RIP Hafidh Ally) alikuwa mwana soka kindaki ndaki...... inaweza kuwa ISHARA kuwa "wa kijani na njano" atapata KIPIGOOOOO cha Mapinduzi (Mageuzi)!
 
Duh poleni watani, kwa hizo 4 naona kama kesho mtakata rufaa mmeekewa madawa kwenye majiπŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Yanga tumewashika panapouma leo hizi ni salamu tu kwa wenzao wa Simba
 
TUMETOA SALAMU. Simba nanyi mjiandae na watu hawa; BOKKO, YAHAYA MOHAMMED, ATTA AGYEI, MAHUNDI.... Teh teh Raha Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…