Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

Yanga hoi kwa Azam, yasambaratishwa magoli manne bila majibu

*Breaking news matokeo ya Azam yamefutwa* by *Jecha* hadi mtakapotangaziwa marudio ya mechi asanteni
 
4fb1f9d67938a262b1e6cc4ba33e6c02.jpg
 
Wakuu Niwapashe Siri Ya Chaneta FC Kupigwa Union Day (Mwezi Wa 4) na Azam? 😀😀😀

Sababu Ni Kuwa Zanzibar Miamala Haifanyi Kazi... [emoji2] [emoji2]

Na Wakikutana Na Mnyama Ndiyo Kifo Chao Manake Hakuna Miamala kwahiyo Magoli Ya Mkono Pia Hakuna...
[emoji12] [emoji13]
 
Shidaaaaa
 

Attachments

  • IMG-20170107-WA0206.jpg
    IMG-20170107-WA0206.jpg
    36.2 KB · Views: 25
Wacha uzushi. Azam alishapita na kuingia nusu fainali baada ya Zimamoto kuifunga Jamhuri goli 2-0.Hivyo mechi ya Azam na Yanga ilikuwa ya kutafuta mshindi wa kwanza na wa pili.Hamna njama wala ngonjera. Mmepigwa ARBA kimpira tu.Mmecheza na matokeo yaliyopita mkadhani mtashinda kwa historia. Azam kawanyoosha. Kusingizia chochote kingine ni ujinga.
 
Back
Top Bottom