Yanga ihamishiwe La Liga, hili soka siyo kiwango cha Ligi ya Bongo

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Ubora, ubira, ubora, ndiyo kitu pekee unachoweza kuizungumzia Yanga ya Nabi. Kungekua na uwezekano wa kurudisha muda nyuma ingepigwa mchezo wa kirafiki kati ya Yanga ya Nabi na Barcelona ya Gadiora. Ni mechi ambayo tungepata burudani kubwa sana kutoka kwa timu zote mbili.

Ni wakati muafaka wa kuihamishia Yanga ikacheze La Liga, kwa mpira unaopigwa na vijana siyo tena kiwango cha Ligi ya Bongo.

Nitaongea nini kuhusu Fiston Mayele? Ni wakati wa huyu jamaa kutafutiwa jina lake, maana kumuita mshambuliaji ni kumkosea heshima, haiwezekani Mayele aitwe mshambuliaji na Kibu Dennis aitwe mshambuliaji pia!
 
Shukran nyingi ziende kwa muheshimiwa kwa kuwezesha SBS kutanua miguu vizuri ili chama lake lipate ushindi mnene.
 
Hongera madelu kwa kuwatanua big stars ili mayele aonekane kama ilivyokuwa kwa zalan.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] comment za ngada sasa!
 
Tena upesi mno

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hee
 

Attachments

  • ce1f7fc8027740d78d873b19168cab41.jpg
    33.9 KB · Views: 4
Wazee wa bahasha ngoja tusubirie group za Caf confederation cup aumbuke mtu
 
Kabisa.. kwa hii yanga unatamani Hadi kuituma kwenda kutuwakilisha world cup
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…