Yanga ikae mguu sawa, GSM kujitoa Yanga

Yanga ikae mguu sawa, GSM kujitoa Yanga

Yanga inamuheshimu sana GSM na kuthamini mchanjo wake. Tunamshukuru na kumpongeza kwa kujisaidia Yanga kufanikisha mchakato wa mabadiliko na msaada yote.

Kaisaidia vizuri na hata kama ataondoka ameiwezesha kuanza kujitegemea. Sio kama Simba ambako Mo akitweet mara moja wenzetu hawalali
Nawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije.

Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa Kamati ya Hamasa,kinachofuata sasa ni kunitoa rasmi kudhamini Yanga na kibaki na mkataba wa msingi wa uuzaji wa jezi tu.
 
We jamaa mshamba sana. Utatengeneza tetesi kwa sidhani Yanga wataumia kama ambavyo mmekuwa mnamuwaza MO
Nawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije.

Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa Kamati ya Hamasa,kinachofuata sasa ni kunitoa rasmi kudhamini Yanga na kibaki na mkataba wa msingi wa uuzaji wa jezi tu.
 
Nawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije.

Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa Kamati ya Hamasa,kinachofuata sasa ni kunitoa rasmi kudhamini Yanga na kibaki na mkataba wa msingi wa uuzaji wa jezi tu.
Unaumia nini?
 
Wewe usifikiri hao ni Kama tajiri yenu anaewayumbisha kila kukicha twitter, akitishia kidogo tu kuwaacha mnakimbia kumlamba miguu, angalieni ya kwenu ya yanga ayawahusu acheni utaahira wenu pelekeni uko uko kwa makolo wenzako
 
Back
Top Bottom