Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,214
Asante kwa compliment .yeah,hata ww unaweza ukipewa nafasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa compliment .yeah,hata ww unaweza ukipewa nafasi
kila la kheriAsante kwa compliment .
kosa lilianzia hapaKujiondoa kwa GSM
- Ni wazi mlengwa mkuu alikuwa ni Simba na sio vilabu vingine.
- GSM ilianza kuji-atach kwa Haji Manara tangu alivyokuwa msemaji wa Simba.
- Simba ilivyochomoa Betri ndio sababu nao wameona malengo yao hayajatimia, wanaamua kujitoa.
- Ukweli ni kwamba Yanga pekee haijamnufaisha GSM
Kosa kubwa walilolifanya TFF ni kuingia mkataba na GSM na kusema huo mkataba ni wao, vilabu hauwahusu.
Anaweza kuondoka lakini sio kienyejiShare holder hawezi kuondoka? ulisomea wapi wewe
Umesema hawezi kuondoka, sasa hivi umebadili giaanaweza kuondoka lakini sio kienyeji
wapi nimesema hawezi kuondoka?Uto ni uto tuUmesema hawezi kuondoka, sasa hivi umebadili gia
Kujiondoa kwa GSM
- Ni wazi mlengwa mkuu alikuwa ni Simba na sio vilabu vingine.
- GSM ilianza kuji-atach kwa Haji Manara tangu alivyokuwa msemaji wa Simba.
- Simba ilivyochomoa Betri ndio sababu nao wameona malengo yao hayajatimia, wanaamua kujitoa.
- Ukweli ni kwamba Yanga pekee haijamnufaisha GSM
Kosa kubwa walilolifanya TFF ni kuingia mkataba na GSM na kusema huo mkataba ni wao, vilabu hauwahusu.
Wataanza kutembeza bakuli kama kawaida yao.. Biashara ya yeboyebo itarejea kwa kasi ya 5G pamoja na mauzo ya jezi fekiNawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije.
Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa Kamati ya Hamasa, kinachofuata sasa ni kunitoa rasmi kudhamini Yanga na kibaki na mkataba wa msingi wa uuzaji wa jezi tu.
Ile wa NBC upo vp?!...vilabu vilishiriki!?Kujiondoa kwa GSM
- Ni wazi mlengwa mkuu alikuwa ni Simba na sio vilabu vingine.
- GSM ilianza kuji-atach kwa Haji Manara tangu alivyokuwa msemaji wa Simba.
- Simba ilivyochomoa Betri ndio sababu nao wameona malengo yao hayajatimia, wanaamua kujitoa.
- Ukweli ni kwamba Yanga pekee haijainufaisha GSM, hadi kupelekea hizo jezi za Yanga wazigawe bure tu viwanjani, kila siku Yanga inapocheza.
Kosa kubwa walilolifanya TFF ni kuingia mkataba na GSM na kusema huo mkataba ni wao, vilabu hauwahusu.
Kuna malalamiko umesikia?Ile wa NBC upo vp?!...vilabu vilishiriki!?
Ndo dua zenu hizo. Yanga ana mkataba wa mabilioni tena wa miaka 10. Nyie mnamtegemea Mo na hela zake za urithiWataanza kutembeza bakuli kama kawaida yao.. Biashara ya yeboyebo itarejea kwa kasi ya 5G pamoja na mauzo ya jezi feki
Hayo mabilioni anayotumia yanalingana na hayo matangazo ya yanga? Hakuna lolote, hata akijitoa biashara yakr haiwezi hata kuyumbaJamaa hawezi jitoa Yanga kwa sasa, labda hadi ligi msimu huu itapoisha...
Yanga wanamsaidia sana kutangaza brand yake...
Mngeanza nyie kuangalia ya kwenu ndipo Simba afuate.Wewe usifikiri hao ni Kama tajiri yenu anaewayumbisha kila kukicha twitter, akitishia kidogo tu kuwaacha mnakimbia kumlamba miguu, angalieni ya kwenu ya yanga ayawahusu acheni utaahira wenu pelekeni uko uko kwa makolo wenzako
They will never do thatNawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije.
Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa Kamati ya Hamasa, kinachofuata sasa ni kunitoa rasmi kudhamini Yanga na kibaki na mkataba wa msingi wa uuzaji wa jezi tu.
Domokaya hua unatia aibuNawapa hii kutoka chini ya kapeti. Huu ni mwanzo tu. Kuweni makini muwe na Plan B baada ya mdhamini wenu kunitoa mtaishije.
Baada ya GSM kujitoa kudhamini ligi na kisha kujitoa uenyekiti wa Kamati ya Hamasa, kinachofuata sasa ni kunitoa rasmi kudhamini Yanga na kibaki na mkataba wa msingi wa uuzaji wa jezi tu.