DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Unajua watu wanaongea tuuu. Unajaribu kuwaelewesha, unajaribu kuwaonyesha njia lakini waaapiii. Wamekaza mafuvu hawataki kabisa kusikia!
Sifa mojawapo ya wanaume ni kwamba tunasimamia kile tunachoamini na hiki ndio ninachoamini:
Kwanza, Yanga hawana pesa za kwenda CAS.
Pili, Yanga hawana sababu yoyote nzito ya kisheria kwenda CAS inayoweza kuwapa ujasiri wa kwenda huko.
Tatu, Yanga inastahili kuhukumiwa na Bodi ya Ligi pamoja na TFF kwa kuharibu taratibu za mchezo wa derby ya 08/03/2025, kulikopelekea mechi hiyo kutofanyika.
Soma Pia: Yanga Yafungua malalamiko CAS dhidi ya bodi ya ligi
Nne, Yanga inatakiwa kuwalipa fidia wahanga wote wa kuahirishwa kwa mechi hiyo ya derby.
Tano, Yanga ipewe onyo kali la kuheshimu sheria, kanuni na miongozo yote ya mpira wa miguu kwa mujibu wa TFF, Bodi ya Ligi, CAF na FIFA.
Ikitokea Yanga imefungua kesi CAS kutokana na sakata hili, nawapa mamlaka yote mods wa JF kunilima ban ya miaka 2 bila uwezekano wa msamaha.