Subiria rungu lako lipo jikoni linachemka Payge huyu usiamuache kasema miaka 2 fanyeni setting kabisa huko 2 years mpaka 2028 ndio afunguliweIkitokea Yanga imefungua kesi CAS kutokana na sakata hili, nawapa mamlaka yote mods wa JF kunilima ban ya miaka 2 bila uwezekano wa msamaha.
Tokea lini kufungua kesi CAS limekuwa ni jambo la siri? Mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Mnataka kujua mapema Yanga wamepeleka malalamiko gani kabla ya muda wenu wa kujua haujafika.Tokea lini kufungua kesi CAS limekuwa ni jambo la siri? Mnajitekenya na kucheka wenyewe.
Nitavaa njuga kuhakikisha nadhiri yako inatimia.Labda CASA sio CAS
Kuwa shabiki wa Hiyo timu lazima Ziwe hazimo hata kidogo